Ni glass, a.k.a ni mchanga wa kawaida tu sema unakuwa na sifa tofauti kutegemeana na hali joto na shinilkizo .... hahahaha, kiswahili shikamoo. Nataka kusema ni mchanga tu katika hali ya glass ambayo hutegemea na conditions from which it is formed, such as temperature and pressure, but basically ni mchanga or silica.
Haina thamani kabisa mkuu!