King Octavian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 403
- 353
Kuna watu mna vimbwanga hatari! is she working??
Wadau ngoja niseme tu ukweli leo, hili neno la hii lugha ya kingereza "she" mi huwa najisikia vibaya sana nikilitumia au likitumiwa kum-refer MAMA yangu mzazi kwenye sentensi au mazungumzo sijui kwa sababu gani, yaan huwa naona matumizi yake( kwa mtazamo wangu) kama hayaendani na HADHI ya mama yangu vile, to call my mother "she"? naona kama namdharau vilee, kama "she" ni kabinti kabinti kadogo vilee, hivi si huwa tunasema aaah yule ni she wako?, au yule she mzushii!!
Mutu ikiniuliza kwa lugha yao, " where is your mama"! damn! I wont answer " she's at home" I would rather elongate the sentence by saying "" my mama is at home!""
vipi hakuna mwenzangu humu?
even a female goat is called "she"!
hahahaaa " my mother is not working"
Ooh really? and where's she staying?!
mbaya zaidi madude kama meli wana refer pia as SHE....kwa mfano titanic watakwambia she was the biggest ship!!!!
a dog pia ni she...
ahahahaha good afternoon JF!
Kwa kujibu hiyo bold. Nasikitika siungi mkono hisia zako.Unanipa picha kwamba pengine wewe unatoka kwenye jamii ya wamasai ambayo hupenda kushangaa na kudharau kwa kusema, 'shee!' Huenda umeunganisha kibwagizoWadau ngoja niseme tu ukweli leo, hili neno la hii lugha ya kingereza "she" mi huwa najisikia vibaya sana nikilitumia au likitumiwa kum-refer MAMA yangu mzazi kwenye sentensi au mazungumzo sijui kwa sababu gani, yaan huwa naona matumizi yake( kwa mtazamo wangu) kama hayaendani na HADHI ya mama yangu vile, to call my mother "she"? naona kama namdharau vilee, kama "she" ni kabinti kabinti kadogo vilee, hivi si huwa tunasema aaah yule ni she wako?, au yule she mzushii!!
Mutu ikiniuliza kwa lugha yao, " where is your mama"! damn! I wont answer " she's at home" I would rather elongate the sentence by saying "" my mama is at home!""
vipi hakuna mwenzangu humu?
Kwa kujibu hiyo bold. Nasikitika siungi mkono hisia zako.Unanipa picha kwamba pengine wewe unatoka kwenye jamii ya wamasai ambayo hupenda kushangaa na kudharau kwa kusema, 'shee!' Huenda umeunganisha kibwagizo
hicho cha dharau na mshangao na neno 'she' la kiingereza! Tafuta namna ya kulizoea na kulikubali.
Mutu = Mtu.
Hiyo sarufi ya kuandika mutu badala ya mtu mimi siijui King Octavian. Kwa hiyo ni sahihi kusema/kuandika:Mutu mukubwa anakuja kututembelea kesho?Sawa lakini hiyo ni Mutu ni style tu ya uandishi, ila pia kama umesoma sarufi ya lugha hilo neno halijakosewa hata kidogo, wanaojua sarufi watanielewa
unaona sasa hapo eti hadi meli? i wont use this word to refer my mama, never kabisa
Hiyo sarufi ya kuandika mutu badala ya mtu mimi siijui King Octavian. Kwa hiyo ni sahihi kusema/kuandika:Mutu mukubwa anakuja kututembelea kesho?
ukizingatia majinaWadau ngoja niseme tu ukweli leo, hili neno la hii lugha ya kingereza "she" mi huwa najisikia vibaya sana nikilitumia au likitumiwa kum-refer MAMA yangu mzazi kwenye sentensi au mazungumzo sijui kwa sababu gani, yaan huwa naona matumizi yake( kwa mtazamo wangu) kama hayaendani na HADHI ya mama yangu vile, to call my mother "she"? naona kama namdharau vilee, kama "she" ni kabinti kabinti kadogo vilee, hivi si huwa tunasema aaah yule ni she wako?, au yule she mzushii!!
Mutu ikiniuliza kwa lugha yao, " where is your mama"! damn! I wont answer " she's at home" I would rather elongate the sentence by saying "" my mama is at home!""
vipi hakuna mwenzangu humu?