Hili neno kwangu kero kubwa

Emma M Bai

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
223
126
Mpenzi wako anapokuambia NAKUPENDA huwa unajiona upo sayari ipi tukiachana Na hii ya dunia

Wengine hii ni kero kubwa na tulishachoka kabisa!!!!
 
Aisee the last few days kwa mara ya kwanza maishani nilijiskia kuchukia kabisaa na kukereka nafsi kwa moyo mmoja pale nilipoambiwa "nakupenda mpenz wangu" na limtu tu kisa tulikutana safarin na tukazoeana na kupeana namba.
Nilijiskia kuchukia sanaa moyoni yan mpaka nikajishangaa!!!
Anyway.. ila si kila anayekuzoea na kukuomba namba anakutaka.!!
 
pole hili neno me ningekuwa kwenye system ningeomba lifutwe linatumika vibaya na matapel
Aisee the last few days kwa mara ya kwanza maishani nilijiskia kuchukia kabisaa na kukereka nafsi kwa moyo mmoja pale nilipoambiwa "nakupenda mpenz wangu" na limtu tu kisa tulikutana safarin na tukazoeana na kupeana namba.
Nilijiskia kuchukia sanaa moyoni yan mpaka nikajishangaa!!!
Anyway.. ila si kila anayekuzoea na kukuomba namba anakutaka.!!
 
Mimi juzi Wema Sepede kaniambia ilo neno,,lakini Aaagghrr kawaida mno wala akuna maajabu.
 
Hhaha neno NAKUPENDA aisee pumbavu kabisa yani huo ujinga huwa sitaki kuusikia hata kidogo.
 
sija ona cha ajabu mbona....mm nilimwambia EVA nakupenda kule edeni akadata mwenyewe nka muonga na tunda
 
Back
Top Bottom