Kapigwa mwangosi ad kafytuliwa jibomu nakusambaratika sembuse sisi!!!!!!Naunga mkono ingawa siipendi ccm. Magufuli atapata kura nyingi sana vijijini. Huku watu wanaishangaa chadema kwa kigeugeu. Jana lowasa alikuwa fisadi na leo kawa mwadilifu! Pia kura hazipigwi huku kwenye mitandao. Nawaomba lowasa akishindwa msifanye fujo mtapigwa tu.
Haki itasimama no matter what