Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Mheshimiwa Waziri gani huyo Magufuli?Hilo neno ukilichukua na ukiweka lugha ya picha yaliokuwa yakiendelea kwenye magari kama hilo unaona kabisa linaenda kwa Mh.Waziri wa Ujenzi.
Asiyejuwa maana usimpe maana mwenye Macho huwa haambiwi tazama. Kazi kwakomzizimkavu khaaa vitu si vya kupost sasa hapo ndio umepost ni nini!? au ndio huwezi kuacha sikunipite bila kuweka thread!
mzizimkavu khaaa vitu si vya kupost sasa hapo ndio umepost ni nini!? au ndio huwezi kuacha sikunipite bila kuweka thread!