Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,590
- 28,761
Hizi kanga hizi zina maneo jamani...dah.........
![]()
la kitu ya moto...I mean la kiti moto.......Paja la kuku au???????
Teh teh teh!mkuu umenikumbusha mbali sana enzi zile nakaa uswahilini!Hizi kanga hizi zina maneo jamani...dah.........
![]()