Hili nalo lichunguzwe mapema!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili nalo lichunguzwe mapema!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Edgar011, Aug 14, 2011.

 1. Edgar011

  Edgar011 Member

  #1
  Aug 14, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Je hii mipango yote bajeti yake iliyotengewa bado ipo au ndo imeingia kwenye mifuko ya viongozi wetu wajasiriamali?
  1. Magari yaendayo kasi.(DSM)
  2. Fly overs(Miji yenye foleni kama dar,mwanza,arusha) kupunguza foleni.
  3. Mafunzo ya jkt kwa wanaojiandaa kuingia vyuoni.(Kwote)

  Hayo yote na mengine mengi kwa masikio yangu nilisikia kua yametengewa bajeti lakini je? Utekelezaji mbona dalili hauna?

  ''TAFAKARI'',FEDHA YAKO YA KODI INATUMIKA IPASAVYO KWA MIRADI YA MAENDELEO KAMA HIYO? KISHA ''CHUKUA HATUA'' KWA ''KUHOJI''
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Aug 14, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Tuendelee kusubiri walisema ni mipango ya muda mrefu.......:angry::angry:
   
 4. Edgar011

  Edgar011 Member

  #4
  Aug 14, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Aha,au ndo wanasubiri mpaka 2014,mwaka mmoja kabla ya uchaguzi ili jema moja lifiche mabaya mengi? Kazi kwenu wapiga kura wachache wa Tanzania
   
 5. Edgar011

  Edgar011 Member

  #5
  Aug 14, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  <br />
  <br />
  ina maana wana uhakika wa madaraka miaka 30 ijayo? Hapo ndo chanzo cha matatizo yote kinakuja? Utajihakikiashe kwani we ndo unajichagua au unachaguliwa kuendelea kuwepo?
   
 6. Edgar011

  Edgar011 Member

  #6
  Aug 14, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  <br />
  <br />
   
 7. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mawili ya mwanzo ni miradi mikubwa, utekelezaji wake ni wa muda mrefu.
   
Loading...