MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,727
- 37,030
Weka picha, ila usitujambie
Weka picha yako na ya sehemu inayo bonyea kwenye hilo godoro, ili tuone namna nzuri ya kukusaidia.sina tako Mkuu! Yan vyovyote nitakavyolala lazima niache shimo kwenye godoro
ayo ni magodoro ya bei rahisi. Nunua godoro wewe.sina tako Mkuu! Yan vyovyote nitakavyolala lazima niache shimo kwenye godoro
Hata kama ni mzito inaonekana uzito umezidi katikati ya mwiliJipige kifuani sema mm ni kidume nna uzito
Nikutoe wasi wasi hauna shida ila inaonekana unalala mahala pamoja kwenye godoro yaani ukilala haugeuki unabaki palepale
Katikati ya mwili ni wapi?Hata kama ni mzito inaonekana uzito umezidi katikati ya mwili
Kiunoni na takoKatikati ya mwili ni wapi?
Haujawahi kumeza mtoto wa panya?Hello everyone..!! Nadhani mpo fresh wakubwa!! Naenda moja kwa moja kwenye mada ;
Jamani ndugu yenu sijui nina tatizo gani aiseh, nikilala katika godoro sehemu ninayo lala lazima ijenge shimo, nikiamka asubuhi najikuta nipo kwenye shimo, mgongo na kiuno vinakuwa vinauma!!
Nimeuliza kwasababu kuna kipindi nilikua naishi na demu mmoja hivi sehemu yake anayolala akiamka ipo kawaida na ana mwili sehem ninayolala mimi imejenga shimo!! Nikasema may be ni ubora wa godoro but why ni kwangu tu ukizingatia godoro ni mpya?
Now nipo nimekuja home kusalimu nalala na mdogo wangu wa kiume sehem anayolala ipo kawaida ila mimi kwangu kumejenga shimo na tatizo ni lile lile naumia mgongo na kiuno!!
Sasa ndugu zangu ninaomba ushauri wenu nijue shida ni nn maana kama ni ubora wa godórokwanini kwangu tu ndo hujenga shimo na nina kilo za kawaida tu 65,!!?
Msaada wa kitaalamu tafadhali wakuu!natanguliza shukran!!!