naona kama most of you hamjamuelewwa mtoa mada...hoja yake ni kuhusu haya mauaji ya raia yanayofanywa na polisi lakini hawachukuliwi hatua yoyote,ndo akauliza wadau mnaonaje ukilinganisha na hyo incident ya s. africa????( correct me if am wrong though )
no one is above the law, yes, lakini sheria zetu za bongo pia zinatakiwa kutekelezwa si kwa maandishi tu...kama hao maaskari wa mwangosi na wale wa moro kwenye mkutano wa chadema, hawajachukuliwa hatua yoyote...hata report za waziri wa mabo ya ndani na zile za chama cha waandishi zilikinzana wakati waandishi walionesha hadi na evidence ya picha....no wonder walioko jela wengi wao ni innocent........