Waungwana; hivi hizi nyuzi zinazosambazwa kwenye mitandao yetu hii za kudai baadhi ya halmashauri zinaupungufu wa walimu. Kwaiyo wenye uhitaji wakupangiwa halmashauri hizo wafanye mawasiliano kwa wahusika, ili upangiwe halmashauri hiyo je? Ni kweli
Na inawezekana?
Mwenye uelewa juu ya hilo atupanguse tongo tongo
Na inawezekana?
Mwenye uelewa juu ya hilo atupanguse tongo tongo