Tuliwashikia huku kenya, na polisi wa Kenya... Mbona huko kwenu hamkuwashika kabla wavuke mpaka?? Kumbuka, tusipowashika au kuwamaliza huku, Iko siku moja watarudi huko Tz baada ya kupata mafunzo kule Somalia.... Watakua wamepata ujuzi wa kila aina na hawajui wafanye nini na huo ujuzi manake vita vimeisha kule Somalia... Wakisharudi huko TZ wataanza kutafuta vijisababu vya kijinga ili wanze kuleta vurugu.... vivyo ndo haya mambo huanza..
Nimeishi ulaya na marekani, hakuna watu wanaofuatilia wengine kama hawa jamaa.
Kama unabisha wakukamate na kisanga, halafu utaona jinsi watakavyokufungulia na kukusomea file lako.
😁😂🤣
Nimeishi ulaya na marekani, hakuna watu wanaofuatilia wengine kama hawa jamaa.
Kama unabisha wakukamate na kisanga, halafu utaona jinsi watakavyokufungulia na kukusomea file lako.
[emoji16][emoji23][emoji1787]