Hili linawezakana Tanzania yetu Dunia hii!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Hakika Mungu kaibariki TZ yetu!

kaulii.jpg
 
Inawezekana kwenu maana wote chama kimoja tangu enzi zileee, hamjawahi kuonja utamu wa utatofauti wa mawazo, mumelemazwa kwenye chama kimoja na masalio ya ujamaa aka umaskini.
 
Sawa, nasikia ,,democratic Kenya" sasa inaunda Katiba mpya tena, ili kukidhi matarajio ya Mwanasiasa xyz kuwa Raisi!
 
Katiba haiwezi kubadilishwa kukidhi mahitaji ya mtu mmoja, na pia hatukusema katiba yetu ni 100% kwamba haiwezi kuboreshwa zaidi, ni bora kwetu tunathubutu kuliko nyie ambao mumeganda nchi yote.
 
Naona alisikia jina referendum akajua hiyo lazima itakuwa ni katiba mpya. :D:D:D
 
Unafikiri kauli ya 'Kutokufukua Makaburi na Waache wazee wapumzike' inamaana gani?
 
Maneno niliyomuwekea che nkapa anayomuambia JPM heri yameishia moyoni... vinginevyo
 
Back
Top Bottom