Hili limekaaje wadau, Hebu nipeni ushauri kuhusu hili jambo la ndoa

Mkuu una akili sana...kuna wanawake ni wapambanaji na wanafaa kuwa wake bora sema ndo hivyo unakuta mwamba asiyetambua thamani yake kashamwaribia maisha
Kuna mmoja alikua mpambanaji hasaa ila tatizo alikua HIV +VE..!!!

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
Wanawake banaa...

Kwahiyo vile namtongoza namtafutia kazi hakuona ukafiri wangu...

Ila kwakua Sasa anakazi na mshahara kwa nguvu zangu ndio anauona ukafiri wangu... Mkiwaga na shida akili zinawatokaga au?

https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1672999/

HEBU NIPE JIBU HII POST NILIYO ATTACH.

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
Na yeye alikuwa anakufuru kastuka. Nakushangaa wewe ambae mpaka sasa hujastuka kukufuru.
 
Maisha yanaanza na wewe..
Ishi kwanza wewe.

Sasa we unawatafutia watu hela sijui wasome na wale na waishi maisha bora.

JE WEWE UMEISHI YALE MAISHA ULIYOYAOTA?

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
Bado nipo mbioni maana maisha ninayoyaota ni financial freedom yaani nipate pesa za kusaidia ndugu zangu na kujisaidia mwenyewe za kutosha ila familiya pia ni muhimu kwa mwanaume...we pata familiya hata kama huna hela afu endelea kupambana kuzitafuta,hicho hicho kilichopo mgawane wazee ndo walisema hayo
 
Wafu hawana uwezo wa kuona wala kutenda mtu akifa ndo kaenda mazima mpaka kristo atakaporudi ndipo parapanda italia na makaburi ya walio mema yatafunguliwa.

Pili kuhusu kuoa: suala hili lilikuwa na umuhimu zamani kwa sasa ni kupoteza muda na rasilimali madada wanaingia kwenye ndoa kama kitega uchumi japo sio wote akishaona mali zimekuwa nyingi wanaachika ili mgawane 50 / 50 kisheria

ushauri wangu: tafuta pesa wekeza sana achana na ndoa kwanza umri wako bado mdogo tafuta pesa wekeza sana achana na wanawake
Miaka 30,afu unamwambia umri bado mdogo?? You are not serious at all
 
Aisee unaonekana una moyo mdogo sana, sasa kumtafutia kazi tu hivyo unalalamikaa (sijui mshahara kwa nguvu zako wakati kazi anafanya yeye),je ungemsomesha? Wahenga wanasema "tenda wema nenda zako usingoje shukurani"
Hujanielewa hebu soma hii post...

Ex wangu bana! Mungu amsaidie tuu - JamiiForums

Kifupi yeye kwasasa ndio alinitafuta ila mi MKE WA MTU SUMU SIMTAKI.

Ila swali ambalo huwa najiuliza na ambalo nimeuliza..

Wakati namtongoza akiwa hana kazi... Ananiletea story za kumuoa akiwa hana kazi... Ananiletea shida zake akiwa hana kazi....

ALIVYOPATA KAZI HAYA MAWAZO YALIENDA WAPI?

Ndio nimeuuliza..
KWANI WANAWAKE MKIWA MNASHIDA HUWA MNAWAZIA NINI?

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
Bado nipo mbioni maana maisha ninayoyaota ni financial freedom yaani nipate pesa za kusaidia ndugu zangu na kujisaidia mwenyewe za kutosha ila familiya pia ni muhimu kwa mwanaume...we pata familiya hata kama huna hela afu endelea kupambana kuzitafuta,hicho hicho kilichopo mgawane wazee ndo walisema hayo
Ngoja kwanza Nile bata niishi raha zangu.

Sikumsomea MTU zaidi ya Mimi.

Na hao wanangu hawata wasomea watu zaidi ya wao wenyewe.

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
Kuoa sio lazima ni hiari ila usiwe muhuni vile vile jifunze kutenda wema na kwenda zako/vile vile maisha ni wewe sio walezi wako!cha muhimu waheshimu na wasaidie wanapohitaji msaada/wanandoa wanaruhusiwa kumiliki Mali binafsi pia!zingatia kwenye mapenzi ya Sasa usiingie kichwa kichwa utaumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujanielewa hebu soma hii post...

Ex wangu bana! Mungu amsaidie tuu - JamiiForums

Kifupi yeye kwasasa ndio alinitafuta ila mi MKE WA MTU SUMU SIMTAKI.

Ila swali ambalo huwa najiuliza na ambalo nimeuliza..

Wakati namtongoza akiwa hana kazi... Ananiletea story za kumuoa akiwa hana kazi... Ananiletea shida zake akiwa hana kazi....

ALIVYOPATA KAZI HAYA MAWAZO YALIENDA WAPI?

Ndio nimeuuliza..
KWANI WANAWAKE MKIWA MNASHIDA HUWA MNAWAZIA NINI?

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
Hapo ndio utajua waliosema simba akizidiwa hula hata nyasi walimaanisha nini. Kifupi ni kwamba hakukupenda sema alikuwa anashida na akaona wewe uko tayar kumsaidia bila kujali dini wala kabila lako akaomba msaada. So next time be careful
 
Huyu dada nilimuelewa balaaa..
Ningekua na uwezo na technologia ingekuwepo angepona hii HIV..!!

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
Kama alizaliwa nao haina shida sio kosa lake na unaweza kuwa nae tu maana usipozaa nae wewe nani mwingine atampa hata katoto...tena usingejutia huyo hachepuki zaidi yako wewe na ungepata maendeleo makubwa
 
Back
Top Bottom