Hili limekaaje kuhusu kupatana

Geechie

JF-Expert Member
Oct 26, 2015
977
761
Nimejaribu kutembelea leo app ya kupatana nilichokutana nacho ni kila bidhaa IKO premium,
Nime edit article yangu naona wamerekebisha na kuturudishia huduma zile za matangazo ambazo sio premium
 
Back
Top Bottom