MPAMBANAJI.COM
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 712
- 332
Kwa wafanya tadhimini bado tunaendelea kuchambua mambo na kweli suala la ukosefu wa elimu ya uraia na udini ndicho chanzo kukuu cha CHADEMA kushindwa uchaguzi mkuu uliopita. Wemgi waliowaislamu bado wanaamini kuwa Dr bado no Padri na hajui lolote kuhusu taaluma yake nyimgine mbali na upadri. Mi muhimu sana kutoa elimu ya uma na siasa zisizo na mrengo wa kidini ndani yake. Hili ni moja ya mambo CHADEMA wayohitaji kuelimisha umma wa Tanzania kwa sasa.
Hata waislamu pia wamegawanyika hawana umoja kama ambavyo wengi wanafikiria, angalia siku ya kusheherekea IDD ELFITRI ni tatizo. ktk waislamu kuna makundi mawili kama ulivyosema, kuna wale wanaosikia maneno na kuyafanyia na kugundua kuwa ni upuuzi mtupu na wale ambao wanasikia maneno msikitini ya kisiasa na kuyachukulia kuwa ni ya kweli bila ya kuyafanyia utafiti hata chembe na bila ya kuangalia mhusika anayoyasema maneno hayo kuwa anaweza kuwa anatumiwa pamoja na kwamba yeye ni kiongozi wa kidini. kuna mgombea mmoja wa ubunge wa kinondoni mwaka 1995 anaitwa omar mwaulanga tulikuwa tunaswali msikiti mmoja huko kinondoni karibu na soko la mitumba, akiwa msikitini anasema kuwa wamchague lipumba kuwa rais lakini akiwa mitaani ambapo anajua wakristo na watu wengi wanamuona anawaambia wamchague mrema kuwa Rais kwahiyo unaweza kuona Picha halisi. kinachowaponza wengi ni UVIVU wa kuyafanyia kazi wale wanayoelezwa. Leo hii msimamishe mwislamu anayesema chadema kina udini mwambie akupe FACTS au Evidence ya kuthibitisha maneno yake uone utumbo utakaotoka sana sana utasikia shehe fulani kasema !!!! lakini waislamu walio wengi wanaelewa mbinu nyingi chafu CCM inazozitumia ktk kujinufaisha kisiasa. Lipumba alikuwa tishio mwaka 2005 CCM wakaingia kanisani CUF ni chama cha waislamu, Mwaka 2010 SLAA alikuwa tishio wakaingia msikitini Chadema ni chama cha wakristo. you don't need to be rocket scientist to see through this.Umesema mambo mawili, mbona unazungumzia tu, lipi la pili?
Ndugu mchambuzi, naona unachambua dini ya Slaa tu, Vipi mbona huchambui vitu vingine kama mapambano dhidi ya dhuluma na ufisadi?
Napenda nikukumbushe kwamba, issue ya udini ina mashiko kwa wale wanaofikiriwa lakini si kwa wale wanaofikiri wenywe. Nitumie mfano wa hiyo dini yake Slaa(WAKRISTO) ukifanikiwa kuhudhuria mikutano na makanisa yao, utabaini kuwa wakristo si wamoja. Hakuna hata siku moja utawaweka pamoja ili kupanga kufanya kitu ambacho wewe utakiita cha maslahi yao kama wakristo. Nina maana gani?
Wasabato ni wakristo, wakatoliki ni wakristo, waanglikana, walokole(nao wana varieties) wote hawa ni wakristo, lakini wewe ni shahidi no.1 kwamba si mara moja tumeshuhudia wakishutumiana hata kutukanana na kutishiana kuburuzana mahakamani kwa sababu hizo za kidini. Nani kakwambia wasabato unaweza kuwaweka pamoja na wakatoliki kuabudu. Wote wana interest za tofauti, so sio rahisi wakakaa kupanga kuchagua kiongozi mkristo. Hii ni hoja ambayo mwazilishi wake alikurupuka tu akidhania kwamba wakristo niwamoja. Na kwa vile ilikuja muda mfupi kabla ya kupiga kura pengine watu bila ya kudadisi uhalisia wake wakamwamini.
Lakini ukumbuke mtoa hoja anajua ile ilikuwa ni hoja ya muda tu, na kwamba watu mwishowe watashituka, so next time atakuja na nyingine.
Ni vema wewe mchambuzi na wachambuzi wenzio mkajua kwamba hawa wakriso walipomchagua Slaa walimchagua kwa mvuto na sera za chama chake. Siamini kuwa wasabato au walokole walimchagua eti kwa sababu ya upadre wake.
Hebu jaribu kufanya utafiti wa kina juu ya wakristo, utajua ni kwa kiasi gani wanatofautiana. Lakini kama umetumwa kuja kuendeleza siasa zenu za majitaka, pole tu inakutosha.
Kwa wafanya tadhimini bado tunaendelea kuchambua mambo na kweli suala la ukosefu wa elimu ya uraia na udini ndicho chanzo kukuu cha CHADEMA kushindwa uchaguzi mkuu uliopita. Wemgi waliowaislamu bado wanaamini kuwa Dr bado no Padri na hajui lolote kuhusu taaluma yake nyimgine mbali na upadri. Mi muhimu sana kutoa elimu ya uma na siasa zisizo na mrengo wa kidini ndani yake. Hili ni moja ya mambo CHADEMA wayohitaji kuelimisha umma wa Tanzania kwa sasa.
mkuu mimi najua kuwa hii ni janja ya ccm tangia CUF (japokuwa kuna kaukweli kidogo). ila kwa hili la chadema acha kwanza wapate kibano ndo siku ingine wajue kumbe kuna umuhimu kuunganisha nguvu pamoja..Hata waislamu pia wamegawanyika hawana umoja kama ambavyo wengi wanafikiria, angalia siku ya kusheherekea IDD ELFITRI ni tatizo. ktk waislamu kuna makundi mawili kama ulivyosema, kuna wale wanaosikia maneno na kuyafanyia na kugundua kuwa ni upuuzi mtupu na wale ambao wanasikia maneno msikitini ya kisiasa na kuyachukulia kuwa ni ya kweli bila ya kuyafanyia utafiti hata chembe na bila ya kuangalia mhusika anayoyasema maneno hayo kuwa anaweza kuwa anatumiwa pamoja na kwamba yeye ni kiongozi wa kidini. kuna mgombea mmoja wa ubunge wa kinondoni mwaka 1995 anaitwa omar mwaulanga tulikuwa tunaswali msikiti mmoja huko kinondoni karibu na soko la mitumba, akiwa msikitini anasema kuwa wamchague lipumba kuwa rais lakini akiwa mitaani ambapo anajua wakristo na watu wengi wanamuona anawaambia wamchague mrema kuwa Rais kwahiyo unaweza kuona Picha halisi. kinachowaponza wengi ni UVIVU wa kuyafanyia kazi wale wanayoelezwa. Leo hii msimamishe mwislamu anayesema chadema kina udini mwambie akupe FACTS au Evidence ya kuthibitisha maneno yake uone utumbo utakaotoka sana sana utasikia shehe fulani kasema !!!! lakini waislamu walio wengi wanaelewa mbinu nyingi chafu CCM inazozitumia ktk kujinufaisha kisiasa. Lipumba alikuwa tishio mwaka 2005 CCM wakaingia kanisani CUF ni chama cha waislamu, Mwaka 2010 SLAA alikuwa tishio wakaingia msikitini Chadema ni chama cha wakristo. you don't need to be rocket scientist to see through this.
Kwa wafanya tadhimini bado tunaendelea kuchambua mambo na kweli suala la ukosefu wa elimu ya uraia na udini ndicho chanzo kukuu cha CHADEMA kushindwa uchaguzi mkuu uliopita. Wemgi waliowaislamu bado wanaamini kuwa Dr bado no Padri na hajui lolote kuhusu taaluma yake nyimgine mbali na upadri. Mi muhimu sana kutoa elimu ya uma na siasa zisizo na mrengo wa kidini ndani yake. Hili ni moja ya mambo CHADEMA wayohitaji kuelimisha umma wa Tanzania kwa sasa.
Hata waislamu pia wamegawanyika hawana umoja kama ambavyo wengi wanafikiria, angalia siku ya kusheherekea IDD ELFITRI ni tatizo. ktk waislamu kuna makundi mawili kama ulivyosema, kuna wale wanaosikia maneno na kuyafanyia na kugundua kuwa ni upuuzi mtupu na wale ambao wanasikia maneno msikitini ya kisiasa na kuyachukulia kuwa ni ya kweli bila ya kuyafanyia utafiti hata chembe na bila ya kuangalia mhusika anayoyasema maneno hayo kuwa anaweza kuwa anatumiwa pamoja na kwamba yeye ni kiongozi wa kidini. kuna mgombea mmoja wa ubunge wa kinondoni mwaka 1995 anaitwa omar mwaulanga tulikuwa tunaswali msikiti mmoja huko kinondoni karibu na soko la mitumba, akiwa msikitini anasema kuwa wamchague lipumba kuwa rais lakini akiwa mitaani ambapo anajua wakristo na watu wengi wanamuona anawaambia wamchague mrema kuwa Rais kwahiyo unaweza kuona Picha halisi. kinachowaponza wengi ni UVIVU wa kuyafanyia kazi wale wanayoelezwa. Leo hii msimamishe mwislamu anayesema chadema kina udini mwambie akupe FACTS au Evidence ya kuthibitisha maneno yake uone utumbo utakaotoka sana sana utasikia shehe fulani kasema !!!! lakini waislamu walio wengi wanaelewa mbinu nyingi chafu CCM inazozitumia ktk kujinufaisha kisiasa. Lipumba alikuwa tishio mwaka 2005 CCM wakaingia kanisani CUF ni chama cha waislamu, Mwaka 2010 SLAA alikuwa tishio wakaingia msikitini Chadema ni chama cha wakristo. you don't need to be rocket scientist to see through this.
Kwa wafanya tadhimini bado tunaendelea kuchambua mambo na kweli suala la ukosefu wa elimu ya uraia na udini ndicho chanzo kukuu cha CHADEMA kushindwa uchaguzi mkuu uliopita. Wemgi waliowaislamu bado wanaamini kuwa Dr bado no Padri na hajui lolote kuhusu taaluma yake nyimgine mbali na upadri. Mi muhimu sana kutoa elimu ya uma na siasa zisizo na mrengo wa kidini ndani yake. Hili ni moja ya mambo CHADEMA wayohitaji kuelimisha umma wa Tanzania kwa sasa.
Na wewe pia ni great thinker!Mimi nadhani SLAA ana zaidi hili la udini, manake mimi ningetegemea SLAA kwa vile ni Padre angeendesha siasa za ustaarabu badala yake imekuwa ni kinyume sana. mimi naomba niende mbali kwamba SLAA ana matatizo ya kisaikolojia. Nasema hivyo kwa sababu wakati akiwa mbunge alikuwa na siasa za kistaarabu, lakini baada ya hapo amekuwa na lugha za kashfa, Hasira za kuzira, mchochezi na mengine mengi. Inawezekana kabisa hana uhakika na ajira yake akiwa CHADEMA na hivyo anajaribu kupalilia ajira yake. Hayo ni mawazo yangu.
Kwa wafanya tadhimini bado tunaendelea kuchambua mambo na kweli suala la ukosefu wa elimu ya uraia na udini ndicho chanzo kukuu cha CHADEMA kushindwa uchaguzi mkuu uliopita. Wemgi waliowaislamu bado wanaamini kuwa Dr bado no Padri na hajui lolote kuhusu taaluma yake nyimgine mbali na upadri. Mi muhimu sana kutoa elimu ya uma na siasa zisizo na mrengo wa kidini ndani yake. Hili ni moja ya mambo CHADEMA wayohitaji kuelimisha umma wa Tanzania kwa sasa.
alishinda urais akiwa na wabunge 22 kati ya 239 wa majimbo? mbona asingeweza kuunda serikali? acheni kujipa moyo uchaguzi 2010 mlichemsha! labda mjipange upya kwa mwaka 3045!Dr. Slaa hakushindwa uchaguzi. Tume holela ya Lews ndo kikwazo.