Hili la TTB na ATCL kutangaza Utalii India...

Unapozungumzia Wahindi (si nchi ya India pekee) bali unazungumzia tabaka la wafanyabiashara Duniani. Hapo (video clip) ni Mauritius. Vice President wa Ghana kaenda kuwasihi wawekeze Ghana.
2. Aga Khan unayemsikia amewekeza duniani (Pakistan, Afghanistan, East Africa eg. Kwenye hospitali, 5-star hotels, media na kusaidia jamaa kupitia ile foundation yake humo humo ndo anapata info za wapi awekeze nyie ngoz nyeusi mmekalia kubandika kope
Sasa hiy y vice presidaa wa ghan ,haifanani na TTB kwend kufany matangazo India
 
adui wa watz ni ccm
eti wahindi ni watalii!!!!!!
lile dege litakuwa linampeleka fupi ndugai hospitali apollo kila mwezi,anafanya kazi nzuri ya kuilinda serikali bungeni
 
Mnataka ATC itue Europe na US mnajua requirements za kushusha ndege huko? 1. Kupata clearance ni mbinde, KQ na umwamba jasho lilimtoka 2. na huu uswahili wetu tutalipishwa mafaini kila siku bora India na China tunawamudu
Mahali penye challenge usikwepe ku-invest. Waasia pekee wenye kupenda kifanya utalii ni Wajapan. Si Wachina wala Wahindi. Utalii hakuko kwenye DNA yao. Hili liko bayana.
 
Mkuu Joshua unapoteza wakati wako bure kutoa mchango wenye elimu kama huu. Wenzio wanatafuta sehemu ya kuelezea frustrations zao za kisiasa na sio kubadilishana uelewa. Hawapo kukwambia "ndio nafikiri umesema ukweli" bali kutafuta namna ya kutukana na kukejeli. Hawatatoa ushauri bali kukosoa na kuonyesha kosa hata kama hana ushauri au uelewa wa hilo analolibishia. Hivyo usipoteze muda wako kuelimisha maana hutaeleweka.

Unapozungumzia Wahindi (si nchi ya India pekee) bali unazungumzia tabaka la wafanyabiashara Duniani. Hapo (video clip) ni Mauritius. Vice President wa Ghana kaenda kuwasihi wawekeze Ghana.
2. Aga Khan unayemsikia amewekeza duniani (Pakistan, Afghanistan, East Africa eg. Kwenye hospitali, 5-star hotels, media na kusaidia jamaa kupitia ile foundation yake humo humo ndo anapata info za wapi awekeze nyie ngoz nyeusi mmekalia kubandika kope
 
Unapozungumzia Wahindi (si nchi ya India pekee) bali unazungumzia tabaka la wafanyabiashara Duniani. Hapo (video clip) ni Mauritius. Vice President wa Ghana kaenda kuwasihi wawekeze Ghana.
2. Aga Khan unayemsikia amewekeza duniani (Pakistan, Afghanistan, East Africa eg. Kwenye hospitali, 5-star hotels, media na kusaidia jamaa kupitia ile foundation yake humo humo ndo anapata info za wapi awekeze nyie ngoz nyeusi mmekalia kubandika kope
Mkuu Joshua,
Kuwekeza sawa, kutalii hapana. Si utamaduni wao.
 
Mkuu Toosweet uko sawa kabisa hiyo "marketing" ya india ingefanyika baada ya kufanya upembuzi yakinifu kujua idadi ya wahindi wanaosafiri kutalii Tanzania.

Tembo India wanao wengi tu wanabeba mizigo na abiria. Wanyama wa "big five" nadhani wanao wote kuacha kifaru. Fukwe wanazo.

Kuacha ubahili, wahindi ni "racists" sana na wana "complex issues". Mhindi toka India hata kula chakula kilichopikwa na mweusi anaweza kuona kinyaa!!

Sanasana wahindi wanarundikana kutalii Dubai, Doha, Kuala Lumpur, nakadhalika na "dream destination" zao ni kama Canada, US , UK, Italy na Australia!

Kwa hiyo "marketing" ya utalii India inaweza isiwe na tija ("non-starter").

Labda uniambie wanafanya "marketing" ya wasafiri wa kawaida wanaotembelea familia zao, wanaosafiri kibiashara, nakadhalika. Na hata kama lengo ni hili, kumshawishi mhindi asafiri moja kwa moja toka India kwenda TZ ni kazi sana. Wanapenda sana "connections" za Dubai, Abu Dhabi na Doha (Kwa maana hiyo Emirates, Etihad na Qatar)! Huko wanaosha macho na kukutana na wahindi wenzao, kupiga picha, nakadhalika.

Kwa DIRECT FLIGHTS za India, soko la uhakika naloliona ni la wa Tz wanaokwenda kutibiwa India na si wahindi wanakwenda TZ!
 
Mkuu umetiririka uzuri sana. Ungewanakili the tallest,joshua na nod. Wao wanaamini mimi ni mbaguzi na nina chuki binafsi na Wahindi, nimekurupuka kwa kuwa hawakunipa tip.
 
Unazi wa kisiasa unaharibu sana "rational thinking" za watu. Mijadala mingi imetawaliwa na "CCM vs Wao".
Yaani kuna watu hata Dreamliner ikibeba abiria mmoja wao wataunga mkono!
 
Mkuu Too sweet siwezi kukubalI wala kukataa kuwa TTB walifanya analysis au hawakufanya kabla ya kwenda. Huenda wsmefanya ila kwa bahati mbaya milengo ya kisiasa huwa conclusive. Angekuja mtu wa TTB nina hakika assumptions zetu zingekuwa mfu. Kwanini tufikiri wakati wote kuwa ni sisi tu ndio tunajuwa na wrngine ni vipofu, hawafikiri, hawana vision! It is ridiculous! ATCL nakubaliana nao kuanza na India! Watalii wa India ni complementary kwa categories zingine za abiria na unapoingia soko jipya kama la India kwa utalii ilikuwa vizuri TTB na ATCL to team up maana wana product zinazotegemeana. Soko la usafiri wa anga nalijua na India is a place to go for ATCL. Mengine ni siasa

Back
Top Bottom