Toosweet
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 2,141
- 1,982
Kwenu ,
Poleni na msiba wa ndugu zetu wa ajali ya kivuko cha MV Nyerere,
Ukerewe.
Nimesoma na kuona katika taarifa za habari kwenye luninga. Mabosi wa Tanzania Tourist Board na Air Tanzania Corporation Ltd wakiwa India kutangaza utalii.Niliona pia, kama wameenda na ndege yetu.
Mimi nimewahi kufanya kazi kwenye restaurants, hotels na lodges kubwa, lodges za Sopa Tarangire, Ngorongoro na Serengeti. Hizi zinamilikiwa na Wahindi. Wahindi wachache sana, miongoni mwao ni wa Arusha mjini, ndiyo niliowaona kuja kutalii mbugani. Walikuja wakati wa Low Season, bei zikiwa chini. Walikaa sita kwenye chumba cha watu wawili, wazazi na watoto wane. Waliomba extra bed. Walikuja kwa kuwa walijua wamiliki ni Wahindi na wangepata favors. Walikuwa na pesa, walikuwa wa jamii ya Aga Khan. Hawakuwa maskini. Walipo-check out walisepa na taulo. Room attendant alifuatilia na kuripoti mapokezi. Habari zilipomfikia mkurugenzi, aliwasihi sana watu wa room service na reception wasiwanyang'anye taulo. Ni aibu. Atalipa yeye.
Hayo yalikuwa ya kawaida kwa Wahindi. Nilipokuwa nafanya kazi kwenye Mandarin Palace Restaurant mjini Arusha, wanawake wa Kihindi waliiba chop sticks na table bowls. Walificha kwenye nguo. Zingine waliwapa watoto wakachezee nje ili wakitoka waondoke nazo.
Visa hivi ni sehemu tu ya vitimbi na sijapost ili kuwadhalilisha au kuwadharau. Natoa fact. Gharama za kupeleka ndege India zitalipa? Ni wapi duniani katika hospitality industry ambapo nchi iliwekeza kutangaza utalii India?
Wahindi wanavalue sana fedha zao. Ni Wachumi wazuri. Wengi hawana tabia ya kutalii. Wapo Wahindi wa Canada, hawa wanatalii kama Wazungu.
Kabla ya kuamua ku-invest, mamlaka husika zifanye utafiti kwanza.
TS.