Nashukuru mkuu!
Dr. Wansegamila wameshaanza kuita, vipi mdogo wako kaitwa?Kuna mdogo wangu nakaa nae nyumbani nae aliapply hizi post, sijajua kama wameshaita au vipi, labda kama kuna wadau wenye idea kuhusu hili waje kutupa taarifa.
hajaitwa, wewe umeitwa for which position? na interview ni lini?? Dogo yeye aliapply ile nafasi ambayo ilitangazwa peke yake ya drug registration officer(ambalo lilitoka kama wiki moja baada ya lile la kwanza ambalo walitangaza post nyingi nyingi)Dr. Wansegamila wameshaanza kuita, vipi mdogo wako kaitwa?
hajaitwa, wewe umeitwa for which position? na interview ni lini?? Dogo yeye aliapply ile nafasi ambayo ilitangazwa peke yake ya drug registration officer(ambalo lilitoka kama wiki moja baada ya lile la kwanza ambalo walitangaza post nyingi nyingi)
Wameshaita Mkuu, jana wamenipigia simu niende interview DUCE
watakua wamenila kichwa mkuu maana cjaitwa nackia watu wameitwa ijumaa na jumamosi. labuda kama kuna mutu mwenye taarifa kwamba wameendelea kuita jana jpili na leo j3 atupe tumaini.
Kuna bro wangu ameitwa usaili 24/january.
Post gani Mkuu?
hapo ndo cjajua,ila kasoma veterinary sua.
Lets see!!!
Posts za accountant washaita jaman??? dah mbona naona dalili mbaya
Nimeitwa leo na kuna rafiki yangu kaitwa last week for the same position. Vuta subra nadhani wanaita kwa mafungu.