johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,000
- 142,027
Hahahhaahhaaahahahhaaha baada ya miaka mnne iliobaki kisheria hebutue wazalendo kuniongezea 5 yesHata sijui huwa wanawaza nini huku wanakwambia wanakuza sekta binafsi , lakini kwa matendo unaona kabisa kuwa wanaiua!!na ndio maana kila siku ajira zinazidi kuwa ngumu kutokana na mambo kama haya!!na shida ni kuwa watakwambia eti sekta binafsi hawajazuiwa nao kufanya..
Khaaa! Kwa hiyo wewe huoni kuwa Kuna watu hapo wamepoteza ajira! Shida kweliWaliokua wanafanya hiyo kazi kabla ya manispaa kuanza walikua wanalitosheleza soko?
Na je walikua wanakidhi vigezo na masharti ya hiyo kazi? Je wapo wafanya biashara hiyo walioathirika na kulalamika kupoteza kazi?
jibu maswali aliyouliza kwanza usikimbilie kusema watu wamepoteza ajira, ukijibu maswali yake hata sisi tulio mbali na huo mji wenu tutajua tumlaum naniKhaaa! Kwa hiyo wewe huoni kuwa Kuna watu hapo wamepoteza ajira! Shida kweli
Pale serikali inapotaka kufanya biasharaWaliokua wanafanya hiyo kazi kabla ya manispaa kuanza walikua wanalitosheleza soko?
Na je walikua wanakidhi vigezo na masharti ya hiyo kazi? Je, wapo wafanya biashara hiyo walioathirika na kulalamika kupoteza kazi?
Sijaona mkuu, kwani hayo magari ya manispaa yanatosheleza ilala nzima?Khaaa! Kwa hiyo wewe huoni kuwa Kuna watu hapo wamepoteza ajira! Shida kweli
Serikali itafanya kazi ya kuhudumia wananchi wake popotePale serikali inapotaka kufanya biashara
Ova
Nakuuliza kila siku hizi mada unazoanzisha unakua umetumwa kutuchora?Kama Serikali itataka kufanya shughuli zote hadi za kubeba nyama kutoka machinjio mpya ya Vingunguti na kusambaza mabuchani basi sekta binafsi inaweza kudhoofu sana.....
Subiri nchale iingie,achakurukaruka.Kama Serikali itataka kufanya shughuli zote hadi za kubeba nyama kutoka machinjio mpya ya Vingunguti na kusambaza mabuchani basi sekta binafsi inaweza kudhoofu sana....
Bwashee inaweza kufika hadi huko kwenye machinjio ya kiti moto!Subiri nchale iingie,achakurukaruka.
Hatimae mapambio yanatoa mrejesho aka backfireHata sijui huwa wanawaza nini huku wanakwambia wanakuza sekta binafsi , lakini kwa matendo unaona kabisa kuwa wanaiua!!na ndio maana kila siku ajira zinazidi kuwa ngumu kutokana na mambo kama haya!!na shida ni kuwa watakwambia eti sekta binafsi hawajazuiwa nao kufanya , ila kanuni zitakazowekwa lazima sekta binafsi tu atajitoa!!huko tulishatoka miaka mingi baada ya kushindikana lakini hawataki kuliona hilo!!na kwakuwa hakuna msemaji...
Ktm vp wata supply nayoSerikali itafanya kazi ya kuhudumia wananchi wake popote
Kama hawapati huduma stahiki au kama huduma wanazopata haziwatoshelezi
Sidhani kama watoa huduma walikuepo wa kutosha tena wanalipwa kodi kwa manispaa, hiyo manispaa ingeingia front kutoa hiyo huduma
Wewe kazi yako kubwa iliyokuleta duniani ni kukata vitunguu na kiuno Tu no Bora utulie Tu maana maisha yenyewe huyajuiWaliokua wanafanya hiyo kazi kabla ya manispaa kuanza walikua wanalitosheleza soko?
Na je walikua wanakidhi vigezo na masharti ya hiyo kazi? Je, wapo wafanya biashara hiyo walioathirika na kulalamika kupoteza kazi?
Ila nchi hii bana.Hata sijui huwa wanawaza nini huku wanakwambia wanakuza sekta binafsi , lakini kwa matendo unaona kabisa kuwa wanaiua!!na ndio maana kila siku ajira zinazidi kuwa ngumu kutokana na mambo kama haya