Hili la Kikwete kwa Baba wa Taifa na kwa Rais Magufuli ni by coincidence au kiburi tu?

Mimi nimemsikia akimuita Mh Rais labda wewe una tv yako! Lakini hata hivyo kuna shida gani hapo?
 
JF rahaaa sana umesabisha nicheke mwenyewe, kwamba Uzi alianza kuuandika mwaka Jana kapost Leo haaaaaaaa
 
Tad
Nimeshatoa tahadhari kabla ya kuharisha ujuwe mjadala unatarget nini? Hili si la ushabiki wa vyama nakuomba ukae pembeni au nenda kwenye thread zingine.
Tahadhari gani wakati umeleta pumba tu, yani umekaa umetafuta cha kuandika ndio umeona hilo. Ungejadili CCM chini ya Magufuli na mfano wa hayo.
 

Mbona Unahangaika na vitu vidogovidogo sana visivyokuwa na tija man?! As long as hajamtukana au kuacha kumtaja na kamuita Ndugu Rais inatosha kiitifaki, wacha uchochezi weye!
 

= Magufuli

Kwanza kabisa napenda uelewe kuwa kumbadili mtu jina na kumwita au kumwandika jina lake ndivyo sivyo ni kumkosea adabu na kuonesha dharau ya hali ya juu kwa huyo mtu.

Cha kushangaza, jina la Rais wetu ni Magufuli, kutwa kucha tunalisoma, yupo kwenye vyombo vyote vya habari vya ndani ya nchi na vingi vya kimataifa vinamwandika vilivyo.

Vipi wewe kinyangarakata kumkosea heshima na kumwandika jina lake ndivyo sivyo?

Kuhusu "ubaba" wa Nyerere, "title" hiyo kwa Waislam si vyema kuitumia. Natumai na Kikwete analifahamu hilo.

Waislam hata kipenzi chetu mtume Muhammad swala Allahu Alayhi Wasalam tunaamrishwa kwenye Qur'an kuwa si baba wa yeyote, ushahidi huu hapa:

Qur'an 33:40
Muhammad is not the father of [any] one of your men, but [he is] the Messenger of Allah and last of the prophets. And ever is Allah , of all things, Knowing.


Hivyo vyeo vya ubaba ni vya Kikristo, sisi havituhusu, mtatusamehe sana kwa hilo. Inapaswa mheshimu mafundisho yetu ingawa mnajidai kuwa serikali haina dini. Sisi tuna dini, tukiwa au tusiwe serikalini.

Baba Mtakatifu, baba askofu, padri (baba), mpaka baba Mungu mnae nyinyi.

Kila mwanamme aingiae majumbani kwenu unaambiwa "mwamkie baba'ko"! Sasa tena mnataka kulazimisha " baba wa taifa"?

Eboo! Mnamababa wangapi nyie?

Sisi huko hamtupeleki. Baba kwetu ni mmoja tu, aliyekuzaa. Title hiyo hatuwezi kumwita mwengine yeyote. Kwa heshima wengine tunawaita "wazee wetu".
 
Matola

Hiyo post ya juu nimekufahamisha kuhusu "baba".

Kuhusu hilo la "ndugu" kwa Magufuli, nadhani wewe ndiyo huielewi nchi hii ilikotoka. Ungekuwa unaielewa ungeelewa kuwa wakati wa Nyerere ilikuwa si sahihi kuitana vingine zaidi ya ndugu.

Fahamu kuwa hilo lilikuja wakati Nyerere anaijaribu siasa yake ya ujamaa na kujitegemea na ukiisoma vizuri katiba ya CCM utakuta kuwa mrengo wetu bado ni wa ujamaa na kujitegemea. Kwa hiyo wana CCM kuitana ndugu haitupi shida kabisa na ni heshima ki chama.
 
Mbona Unahangaika na vitu vidogovidogo sana visivyokuwa na tija man?! As long as hajamtukana au kuacha kumtaja na kamuita Ndugu Rais inatosha kiitifaki, wacha uchochezi weye!
Kwakweli Watanzania tunapaswa kuipongeza TCU kwa kuongeza viwango vya sifa za kujiunga elimu ya juu.

Haya ndio madhara ya nchi kuzalisha wasomi fake, huelewi hata mada imejikita kwenye mjadala gani, na kwa sababu wewe ni dogo hujui kabisa kwamba watanzania hapo zamani tulikuwa tukiitana ndugu fulani na siyo mheshimiwa.

Ndio maana yule Afrikast wa Kirwanda kutoka Gisenyi anawaita mapopoma poor IQ.
 
Tatizo lako una mihemko na kiherehere, unakurupuka tu without know how, hichi ulichokiandika una uhakika mimi sijakiandika kabla yako kwenye uzi huu?

Hii ndio shida ya ujuwaji mwingi, mtu akianza kusoma post ya kwa mpaka hii atashindwa hata kukushanga!!
 
Reactions: PNC
RAISI MAGUFURI--: Rais Magufuli
 
Nyererephobia at her level best of hatred, nikikuletea hapa ushaidi wa Video clip Mzee Kikwete akimuita Pengo Baba Askofu na Sheikh akimuita Askofu kwa kuanza na neno baba Askofu, unaliahidi nini jukwaa hili hili tukate mzizi wa fitna na nikuumbuwe hapa dhahiri shairi?
 


Ngachoka kabisa, sijakuelewa mkuu?!
 
Ebu tutolee ulimbukeni wako hapa jukwaani
 
Naona umeshapiga wanzuki kimya kimya huku ukijifanya muumini mzuri
 
Huyo ni sawa na mc tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…