Hili la Jaji Mkuu tusimlaumu Rais Samia

Hili la Jaji Mkuu tusimlaumu Rais Samia

Idofu

Senior Member
Joined
Oct 24, 2022
Posts
127
Reaction score
217
Wakati mwingine, wenyewe wanapenda kuongezewa muda baada ya kulewa madaraka na wakati mwingine Rais anazidiwa na wapambe wa hao wanaoongezewa muda.

Viongozi wengi waandamizi waliokuwa wanategemewa kustaafu kuanzia February mpaka July Mwaka huu wameongezewa muda wa Miaka miwili yaani mpaka Mwaka 2025, ni wengi mno ukiachana na Jaji Mkuu.

Kwa uchache,ni kuwa hata yule mama ya Sensa Chuwa naye ameongezewa Miaka 2, hata huyu Kamanda wa Kanda Maalumu DSM naye ameongezewa Miaka 2 mpaka 2025, Listi ni kubwa mno.

Kwa hiyo,tusimlaumu kwa hili la Jaji Mkuu, inawezekana Kuna sababu za ndani Sana ambazo zimemfanya amuongezee muda Kidogo huku akiendelea kufanya vetting!

Pia soma: Mwanasheria afungua kesi kupinga Jaji Mkuu kubaki kazini baada ya muda wa kustaafu kupita
 
Wakati mwingine, wenyewe wanapenda kuongezewa muda baada ya kulewa madaraka na wakati mwingine Rais anazidiwa na wapambe wa hao wanaoongezewa muda!!
Kwa nin asilaumiwe wakati katiba kaifunika, oooh hakuna ajira wakati kuna watu wanataka wafie madarakan.
 
Jaji sijui miaka 65 ila makazini wapo wazee walitakiwa kustaafu wakiwa 60 ila ukiwaona hata uwezo wa kuona ni matatizo na kutembea ndo balaa ila wameng'ang'ania humo ,wengi wanafoji cheti cha kuzaliwa.
 
Wakati mwingine, wenyewe wanapenda kuongezewa muda baada ya kulewa madaraka na wakati mwingine Rais anazidiwa na wapambe wa hao wanaoongezewa muda.

Viongozi wengi waandamizi waliokuwa wanategemewa kustaafu kuanzia February mpaka July Mwaka huu wameongezewa muda wa Miaka miwili yaani mpaka Mwaka 2025, ni wengi mno ukiachana na Jaji Mkuu.

Kwa uchache,ni kuwa hata yule mama ya Sensa Chuwa naye ameongezewa Miaka 2, hata huyu Kamanda wa Kanda Maalumu DSM naye ameongezewa Miaka 2 mpaka 2025, Listi ni kubwa mno.

Kwa hiyo,tusimlaumu kwa hili la Jaji Mkuu, inawezekana Kuna sababu za ndani Sana ambazo zimemfanya amuongezee muda Kidogo huku akiendelea kufanya vetting!

Pia soma: Mwanasheria afungua kesi kupinga Jaji Mkuu kubaki kazini baada ya muda wa kustaafu kupita
Kwa Jaji Mkuu (JM) katiba haimpi nafasi raisi kumwongezea Muda baada ya kufikisha umri wa miaka 65
 
Kinacho jadiliwa hapa sio kuongezewa muda kwa watumishi. Bali hija ni kwamba katiba hairuhusu jaji mkuu kuongezewa muda.
 
Kwa Jaji Mkuu (JM) katiba haimpi nafasi raisi kumwongezea Muda baada ya kufikisha umri wa miaka 65
Naielewa hii,

Inawezekana kwa Majaji waliopo ameona hawana sifa hiyo kwa Sasa au wanakaribia umri wa kustaafu!!,Kumuongezea muda JM inawezekana ikawa ni muda wa kumtafuta mtu sahihi ambaye anaweza kushika nafasi hiyo kwa muda mrefu Kidogo!!,
 
Kwa nin asilaumiwe wakati katiba kaifunika, oooh hakuna ajira wakati kuna watu wanataka wafie madarakan.
inawezekana alichelewa kupelekwa taarifa ya kustaafu kwa JM,kwa hiyo anataka apate muda mrefu wa kumuandaa na kumuelewa JM anayefuata!!
 
Hapo mzee hakuna kitu ni sanaa tu, ukiangalia ni wangapi walioongezewa mkataba wakati wanatakiwa kustaafu, inakuwa as if hatuna wataalam wengine kama enzi za Nyerere.
 
inawezekana alichelewa kupelekwa taarifa ya kustaafu kwa JM,kwa hiyo anataka apate muda mrefu wa kumuandaa na kumuelewa JM anayefuata!!
Unataka kusema suala la kustaafu mtu kama jaji mkuu ni suala la ghafla?

Unatetea jambo ambalo ni gumu. Kama sehemu hii ndogo tu umakini haupo vipi kwenye mambo makubwa?
 
Naielewa hii,

Inawezekana kwa Majaji waliopo ameona hawana sifa hiyo kwa Sasa au wanakaribia umri wa kustaafu!!,Kumuongezea muda JM inawezekana ikawa ni muda wa kumtafuta mtu sahihi ambaye anaweza kushika nafasi hiyo kwa muda mrefu Kidogo!!,
Haiwezekani kusema hakuna anayefaa kumrithi. Kwahiyo akifa nafasi yake itakaa wazi?
 
Wakati mwingine, wenyewe wanapenda kuongezewa muda baada ya kulewa madaraka na wakati mwingine Rais anazidiwa na wapambe wa hao wanaoongezewa muda.

Viongozi wengi waandamizi waliokuwa wanategemewa kustaafu kuanzia February mpaka July Mwaka huu wameongezewa muda wa Miaka miwili yaani mpaka Mwaka 2025, ni wengi mno ukiachana na Jaji Mkuu.

Kwa uchache,ni kuwa hata yule mama ya Sensa Chuwa naye ameongezewa Miaka 2, hata huyu Kamanda wa Kanda Maalumu DSM naye ameongezewa Miaka 2 mpaka 2025, Listi ni kubwa mno.

Kwa hiyo,tusimlaumu kwa hili la Jaji Mkuu, inawezekana Kuna sababu za ndani Sana ambazo zimemfanya amuongezee muda Kidogo huku akiendelea kufanya vetting!

Pia soma: Mwanasheria afungua kesi kupinga Jaji Mkuu kubaki kazini baada ya muda wa kustaafu kupita
La Kamanda wa Polisi kanda Maalum Dar es salaam amevunja kifungu gani cha Katiba? Sheria ya Polisi na Polisi wasaidizi iko Wazi kuhusu Hilo na Hakuna aliyelilalamikia siyo kwamba hatujui.
 
Back
Top Bottom