Habari wakuu.
Jamani naombeni ushauri. Hapa IFM saivi pana ishu ya watu waloshindwa kulipa ada katika muda uliopangwa ambao mwisho ilikua april 30 (hata mimi pia sijalipa) uongozi wa chuo umeamua kiandika barua kwa kila mmoja kumueleza kuwa, kwa vile mtu ameshindwa kulipa ada katika muda uliotakiwa basi meanafunzi huyo atakua deregistered, na hatakiwi kufanya mitihani wala kuhudhutia vipindi na wala kutumia facility yoyote apo chuoni. Mwanafunzi akilazimisha kufanya mitihani basi mwanafunzi huyo mitihani yake itakua null, haitoshughulikiwa.
Ndugu ukitizama idadi ya watu waliokuwa hawajalipa ni kubwa sana. Hizo barua zilizotoka unatakiwa utie saini ili kuthibitisha kama umekubali ufukuzo huo!