Hili la EPA nakuunga mkono Rais

dndagula

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
1,601
1,650
Nimefuatilia hotuba yako nzuri uliyoitoa mkuranga kwenye kiwanda cha ceramic na umesema vizuri sana kuhusu mkataba wa EPA ambayo kimsingi ungeua viwanda vyetu na kuinyima serikali mapato na ajira.

Hakuna nchi duniani ya kiviwanda isiyolinda viwanda vyake. Sera za keysianism kuhusu protectionism zinarudi eg uingereza na European Union.

Aksante kwa uzalendo huu mkuu.
 
Back
Top Bottom