Hili la Algeria na maimamu wa kike limekaaje

Hili la Algeria na maimamu wa kike limekaaje

Imamat huyu atakuwa ni kama mwalimu wa maswala ya dini tu,kama wanawake wenzake ama darasa za kwenye vyuo vya kiislamu
 
Ujerumani ni katika wamagharibi wenye kueneza fikra chafu dhidi ya uislam ili kuupa taswira mbaya katika sura ya dunia
nilifikiri wanaoeneza fikra chafu dhidi ya uislam na kuupa taswira mbaya waislam ni waislam wenyewe, wewe unamuonaje BOKO HARAM, ISIS, ISIL na alshabab wenyewe?, usisahau yanayotokea zanzibar - kumwagia tindikali innocent tourists et cetera
 
Agano Jipya la Quran linakuja. Ujerumani wameanzisha msikiti wa ki liberali.
 
Sasa ndo tumefika uko,na baada ya muda utasikia wapo dunia nzima,kwa iyo jarib kua flexible kua uisilam uwez badilishwa,..ii ni dunia na imani yake inabadilika kila Siku,
Uislamu una taratibu zake. Itikadi yake. Na utamaduni wake. Ukienda kinyume utakuwa huo si uislamu
 
Ukitaka kumuua paka...mpe jina baya...hakuna atakaekulaum kwa kumuuua....
 
Halafu hao ni waarabu waliopewa dini. Sisi Wamatumbi kucha kuwatenga wamama tunajifanya wajuaji kumbe hamna kitu. Safi sana Algeria
 
Imamat huyu atakuwa ni kama mwalimu wa maswala ya dini tu,kama wanawake wenzake ama darasa za kwenye vyuo vya kiislamu
Kwenye nchi zenye Vita wako maimamu wanawake unakuta wanaume wote wameuawa vitani au wako Vitani hasa nchi za kiarabu .misikiti unakuta haina maimamu wanaume hapo hao akina Mama ndipo hushika ni maimamu Ndio maana hupewa leseni.
 
Agano Jipya la Quran linakuja. Ujerumani wameanzisha msikiti wa ki liberali.

Sio agano jipya tu, vitakuja hadi vitimbi vya Dajaal huyo anaweza kufanya kama anavyofanya Mungu mwenyewe, lakini bado uislam utabaki kama ulivyo. rejea Quraan haya hii..

2_258.gif


258. Hukumwona yule aliye hojiana na Ibrahim juu ya Mola wake Mlezi kwa sababu Mwenyezi Mungu alimpa ufalme? Ibrahim alipo sema: Mola wangu ni yule ambaye huhuisha na kufisha. Yeye akasema: Mimi pia nahuisha na kufisha. Ibrahim akasema: Mwenyezi Mungu hulichomozesha jua mashariki, basi wewe lichomozeshe magharibi. Akafedheheka yule aliye kufuru; na Mwenyezi Mungu hawaongoi watu madhaalimu. Maelezo
 
Halafu hao ni waarabu waliopewa dini. Sisi Wamatumbi kucha kuwatenga wamama tunajifanya wajuaji kumbe hamna kitu. Safi sana Algeria

30. Na pale Mola wako Mlezi alipo waambia Malaika: Mimi nitamweka katika ardhi Khalifa (mfwatizi), wakasema: Utaweka humo atakaye fanya uharibifu humo na kumwaga damu, hali sisi tunakutakasa kwa sifa zako na tunakutaja kwa utakatifu wako? Akasema: Hakika Mimi nayajua msiyo yajua

Umeilewa hiyo aya katika suratul Baqaarah?
 
Sio agano jipya tu, vitakuja hadi vitimbi vya Dajaal huyo anaweza kufanya kama anavyofanya Mungu mwenyewe, lakini bado uislam utabaki kama ulivyo. rejea Quraan haya hii..

2_258.gif


258. Hukumwona yule aliye hojiana na Ibrahim juu ya Mola wake Mlezi kwa sababu Mwenyezi Mungu alimpa ufalme? Ibrahim alipo sema: Mola wangu ni yule ambaye huhuisha na kufisha. Yeye akasema: Mimi pia nahuisha na kufisha. Ibrahim akasema: Mwenyezi Mungu hulichomozesha jua mashariki, basi wewe lichomozeshe magharibi. Akafedheheka yule aliye kufuru; na Mwenyezi Mungu hawaongoi watu madhaalimu. Maelezo
Hakuna kitakachobaki kama kilivyo.

The second law of thermodynamics will take care of everything, from the mundane earthly things due to chaos and complexity to the supernovae of our local start 5 billion years in the future, to the heat death of the universe.

Quran ni kitabu cha hadithi za kitoto kilichoandikwa na wajinga zama za giza bila kufuata mantiki ya kueleweka.

Heat death of the universe - Wikipedia
 
30. Na pale Mola wako Mlezi alipo waambia Malaika: Mimi nitamweka katika ardhi Khalifa (mfwatizi), wakasema: Utaweka humo atakaye fanya uharibifu humo na kumwaga damu, hali sisi tunakutakasa kwa sifa zako na tunakutaja kwa utakatifu wako? Akasema: Hakika Mimi nayajua msiyo yajua

Umeilewa hiyo aya katika suratul Baqaarah?
Sijaelewa sheikh nipe tafasiree
 
Kwa taarifa tu kama ulikuwa haujui: UISLAM NI DINI ILIYOKWISHA KUKAMILIKA na wala haihitajii mabadiliko, ukiachana na hivi vitimbi vya wamagharibi katika dunia hakuna jipya litakalokuja kubadilisha mtazamo wa uislam, yaani kama zamani maimam walikuwa wanaume basi sasa tuweke na wanawake kutokana na haki sawa, aah NEVER!!
wanawake ni makinikia
 
Sijaelewa sheikh nipe tafasiree

Maana yake ni kwamba Mungu aliwaambia malaika atamketa mfuatizi au halifa...halifa maana yake ni kiongozi. Na aliyekusudiwa hapa alikuwa ni baba yatu nabii Adam alayh salaam. Hivyo kwa mujibu wa taratibu za uislam kiongozi mkuu wa sehemu yoyote anapaswa kuwa mwanaume kwanza. Hiyo ndio tafsir yake hapo kwa hiyo hakutakuwa na mabadiliko hayo unayodhan yatakuepo au hata huko unakodai co kwa wamatumbi wote tunafuata Quraan moja.
 
Ktk uislam KE anaruhusiwa kuwa Imam ila kwa KE wenzie na sio kwa ME/KE kwaiyo hakuna mkanganyiko hapo
 
Tazama vizuri hiyo document niliyoiattach
Mtoa mada wacha kukurupuka km uliyefumaniwa....hakuna pahala katika attachment yako inayoonyesha kuwa 'wanatoa scholarship kwa watanzania wanawake wanaotaka kwenda kusomea uimamu'!! wacha ufala.
 
Nilikuwa napitia website ya tcu nkakutana na tangazo la scholarship za Algeria, moja ya vipengele ambavyo wao kama nchi wanaidhamini Tanzania kupeleka wanafunzi wao katika category ya religious affairs ni nafasi ya wanafunzi wakike kwa ajili ya kwenda kusomea uimam wa misikiti (imamat) na kupewa kibali yaani Bachelor degree(licence) in Imamat. Kozi inatolewa kwa muda wa miaka 3.

Em kwa wale wahusika na wajuvi wa hizi kazi mtoe maoni au kama kuna marekebisho ya uelewa turekebishane tafadhali maana mpaka sasa sijalielewa hili suala.

N.B: Kama huna unachokijua tafadhali pita kimya!!!!
Neno IMAM kiongozi,
Mwanamke anaruhusiwa kuongoza kama anawaongoza wanawake wenzie,
 
Lakin mbona ujerumani wana maimamu wa kike,
Hao ni miongoni mwa manaswara wanafiq,wanadanganya watu,mimi nawashangaa sana manaswara,kwa nini mnahangaika na dini ya watu?just let us be!Kul ya hayual kaffirun?sema enyi makafiri,La abudu manta abudu,Nyie mna dini yenu na sisi tuna dini
Agano Jipya la Quran linakuja. Ujerumani wameanzisha msikiti wa ki liberali.
Quran Imeshakamilika hakuna agano jipya,kuna tofauti ya kiarabu na Quran,Wewe ni qaffir huwezi elewa Uislam,kama unataka kuujua uislam pliz njoo katika unyoofu ndugu yangu hujachelewa.Nimekuwekea attchment ya manaswara kama wewe1
 

Attachments

  • kaffirun.jpg
    kaffirun.jpg
    75 KB · Views: 62
Back
Top Bottom