Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,720
Ki ukweli hawa jamaa nawatamanigi sana maana si mnajua tena status ya nchi yenyewe.
Ila kimbembe sasa wakitangazaga nafasi zao. Tangazo ni refu hilo makorokocho kibao halafu na procedures za kuapply zimekaa kushoto. Yaani Kuna maform ya ajabu ajabu mengi ya kujaza mpaka mtu unakata tamaa.
Hapo vip wakuu, soko la ajira us embassy pale mnalichukulia vip? Maana mi siwaelewi kabisa wazungu hawa.