Mm Mnyakyusa kwa baba na Mama,kwa kweli sasa dada zetu hasa wakiwa Dar wamecharuka!Hata hujaomba kaisha kuvulia kwenye gariKilicho baki ni ile asili na mazoea ya watu kuwa kabila flan ndio vicheche
Nadhani kuna umuhimu wa kubadilisha fikra zetu na kuacha kuwaandama watu wa kabila flan maarufu hapa nchi..Mm Mnyakyusa kwa baba na Mama,kwa kweli sasa dada zetu hasa wakiwa Dar wamecharuka!Hata hujaomba kaisha kuvulia kwenye gari
Hahahaah sikuwa naamini hili kuhusu wasukuma ila kuna siku nilisafiri kutoka mwanza kuja Dar, nilikaa siti jirani na msukuma, njia nzima ni Kula tu. Aliacha Kula tulipofika Moro.!Mbona hata Kabila lako mwenyewe la Kisukuma ni full " matatizo? " Mmeacha ile tabia yenu ya kula kula hovyo pindi muwapo safarini? Ubungo asubuhi mnanunua miwa mnaanza kututafunia ndani ya basi, tukifika mizani mnatafuta mayai ya kuchemsha ili mtujambie vizuri mbele ya safari na hakika huwa tunawakoma, tukifika chalinze lazima mnunue mahindi ya kuchemsha, Msamvu Morogoro mnatafuta mihogo ya kuchemsha, Gairo lazima mnunue viazi vya kuchemsha pale, Dodoma huwa mnatugandisha mno kwani wengi wenu hukimbilia vyooni " kufyatua " mlivyovifakamia katika vituo tulivyovipita, maeneo ya Shelui mtanunua Chips yai na kuku za kuletewa dirishani ambazo hata hivyo nyingi huwapeni sana usumbufu wa matumbo na tukiwa tunataka kuliacha pori la maeneo hayo huwa mnamsimamisha dereva huku mnakimbilia maporini kujisaidia, Singida lazima tu mtaulizia Ugali na wengi wenu ili msichelewe katika basi huwa mnabeba kabisa huo Ugali na mkipanda nao ndani ya basi huwa mnatupa " show " ya bure hasa kwa jinsi mnavyochota na kuutafuna huo Ugali kwani huwa mnatumia sana nguvu utadhani mnaua nyoka, Shinyanga na penyewe mtatafuta vitumbua na hadi tunafika Mwanza pale Kituoni hakika matumbo yenu Wasukuma huwa yanakuwa yamechafuka mno.
Nataka kuoa mwanamke kutoka kabila flan maarufu hapa nchiniKwani unaoa kabila???
Juzi nimesafiri nao kutoka Dar-Mwanza kwa ndege karibia wote wamebeba kuku wanawika kweli kweli kwenye ndegeHahahaah sikuwa naamini hili kuhusu wasukuma ila kuna siku nilisafiri kutoka mwanza kuja Dar, nilikaa siti jirani na msukuma, njia nzima ni Kula tu. Aliacha Kula tulipofika Moro.!
Kuhusu kuchepuka hakuna kabila ambalo hawachepuki.!Nataka kuoa mwanamke kutoka kabila flan maarufu hapa nchini
Ahahaha ni kweli.Mbona hata Kabila lako mwenyewe la Kisukuma ni full " matatizo? " Mmeacha ile tabia yenu ya kula kula hovyo pindi muwapo safarini? Ubungo asubuhi mnanunua miwa mnaanza kututafunia ndani ya basi, tukifika mizani mnatafuta mayai ya kuchemsha ili mtujambie vizuri mbele ya safari na hakika huwa tunawakoma, tukifika chalinze lazima mnunue mahindi ya kuchemsha, Msamvu Morogoro mnatafuta mihogo ya kuchemsha, Gairo lazima mnunue viazi vya kuchemsha pale, Dodoma huwa mnatugandisha mno kwani wengi wenu hukimbilia vyooni " kufyatua " mlivyovifakamia katika vituo tulivyovipita, maeneo ya Shelui mtanunua Chips yai na kuku za kuletewa dirishani ambazo hata hivyo nyingi huwapeni sana usumbufu wa matumbo na tukiwa tunataka kuliacha pori la maeneo hayo huwa mnamsimamisha dereva huku mnakimbilia maporini kujisaidia, Singida lazima tu mtaulizia Ugali na wengi wenu ili msichelewe katika basi huwa mnabeba kabisa huo Ugali na mkipanda nao ndani ya basi huwa mnatupa " show " ya bure hasa kwa jinsi mnavyochota na kuutafuna huo Ugali kwani huwa mnatumia sana nguvu utadhani mnaua nyoka, Shinyanga na penyewe mtatafuta vitumbua na hadi tunafika Mwanza pale Kituoni hakika matumbo yenu Wasukuma huwa yanakuwa yamechafuka mno.
Wadanganye. Kama ni Muhaya, waambie ni Mnyakyusa. Kama ni Msambaa waambie ni Mpare. Etc
Vipi wanyaturu wa singida haha??Haya makabila yote uliyoyataja ni kiboko kwa kutoa ila uliacha wachagga.
Hahahahahahaha daaaah!!Juzi nimesafiri nao kutoka Dar-Mwanza kwa ndege karibia wote wamebeba kuku wanawika kweli kweli kwenye ndege
Vipi wanyaturu wa singida haha??
Nahisi jamaa kapata mColour hahahahahUmepanda gari ya kondoa nini mkuu!!!
Juzi nimesafiri nao kutoka Dar-Mwanza kwa ndege karibia wote wamebeba kuku wanawika kweli kweli kwenye ndege
Sasa mnatuonea wasukumaHahahahahahaha daaaah!!
Kaya ya basukuma ibonelwa gete.
Kabila gani sio wahuni Tanzania?Wote hawa wapo sawa tu siku hizi
Olo wa ntogagwa na wena tabia nsoga tolaga do,ila otonshomile nhana yaya shi!Genaya madamu sana ila ka nike kasoga noo
Ahahaha niliwahi fanya kazi hapo MikindaniMakabila yangu Baba ( Zanaki ) kutoka Mkoani Mara na Mama ( Yao ) kutoka Mkoani Mtwara ndiyo pekee ambayo siyo ya Wahuni hapa nchini Tanzania na hili halina ubishi.
Ahahaha niliwahi fanya kazi hapo Mikindani
Hao ni wahuni mno tena mno
Sina uzoefu na watu wa kusiniRekebisha kauli yako Mkuu nakuhakikishia katika Makabila ambayo yanaongoza kuwa na Watu wastaarabu, siyo malaya, wenye roho nzuri, wapambanaji, wakarimu, wacheshi na werevu sana Tanzania nzima ni Wazanaki wa kutoka Mkoani Mara na Wayao wa kutoka Mkoani Mtwara. Kama huna taarifa au ufahamu nao uliza mtu yoyote hapo jirani yako akuthibitishie. Kwa niaba ya Wazanaki na Wayao naomba unitake / ututake radhi / msamaha upesi na haraka Mkuu.