Hili kabila litanikosesha mke

Sijawahi kucheka hivi tangu nijiunge JF, Gentamycine you are crazy. I wish nikuone.

Safi sana na nimefurahi kusikia kuwa tangia ujiunge JF hujawahi kucheka kama bandiko langu dhidi ya Wasukuma. Ni furaha yangu kusikia hivyo kwani napenda mno kuwafurahisha Watu ili kuondoa stress zenu. Kuhusu kuniona sijui kama itawezekana kwani inategemeana Wewe upo wapi kwa sasa. Mimi napatikana hapa kwetu Mkoani Gisenyi nchini Rwanda na Kazi yangu ni ya uvuvi, ukulima na ufugaji na ukifika tu hapa mjini Wewe ulizia Mr. Kalemera Rwigyema Mazimpaka ( ambaye ndiyo Mimi mwenyewe ) na utanipata au utaelekezwa nilipo. Karibu sana Mkuu. Vipi na Wewe mwenzangu kwa sasa upo wapi? Tanzania au Syria?
 
Huyo msichana nshajua kabila lake!
Solution ni kusema ukweli kwamba tabia ni kama ngozi haichomoki,na haibadiliki hata ukijichubua,Nakushauri umwache na uje kwetu Bukoba nikupatie mke mwema
 
Mkuu heshima kwanza,naomba sisi binadamu tuache kudhani au kuendekeza midomo ya wapumbavu,toka lini kabila fulani tu tukaliandama eti wao wanagawa hovyo miili yao?,kutaja Wahaya na kuwatwisha kashfa sio jambo jema,sababu hakuna kabila duniani ambalo halina vicheche,makabila yote duniani yana watu wa aina hiyo,ndio maana vitabu vitakatifu vimekemea uzinzi kwa mataifa yote duniani,na havikukemea uzinzi kwa Wahaya tu,tuache tabia hizo.
 
Anaitwa Faraja Alex

Ama Sikudhani Haji

Chikulupi njekumanyikyeluntukuye Mwandanonolu
 
Hahahahaaa wachambe kabisa aisee wamezidi mno kwenye kula. Ila ni kabila nnalolipenda sana. Hawana majungu. watu poa sana wasukuma
 

Ukisikia maajabu ndio haya...wewe mwenyewe kabila lako la kisukuma ni mpasuko tosha!!!..halafu unakosoa makabila mengine!!..
 

Muhaya huyo
 
Umetudhalilisha sana sisi wasukuma. Nachelea kusema kuwa unatakuwa umetufananisha na WAHA.

Ila naamini unaweza kututaka radhi, na usipotutaka radhi nakuhakikishia hatukupi mke, baki na michepuko yako.
 
Ha haaa unauchokozi na wasukuma ee....

Cc Ntuzu
 
Hahaaaaaaaa uwiiii kupanda bas na watu wa aina hyo kero tupu wanatafuna njia nzima ka mbuzi tabu tupu hafu ukute wanavyotafuna sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…