Hili jeshi linaitwaje?

.....Jeshi la Wahehe kwa sababu wanatumia mboga (Mbwa) kama silaha ya ulinzi.
 
<style type="text/css"> <!-- page { margin: 0.79in } P { margin-bottom: 0.08in } --> </style> Magamba Resistance Army (MRA)
 
Last edited by a moderator:
Ngoja wafanye upande wa pili usikie kelele zao :argue:
 
nakumbuka safari ya rwanda
tulilazimishwa kukanyaga maiti
zilizooza na kutoa harufu kali
tulikuwa na lori
maiti zilipangwa barabarani
na jamaa kama hawa hawa
walitulazimisha,bila hivyo
hakuna kurudi rusumo''border ya tz &rwanda''
kabla ya hayo yote
tulikuwa tukiona mizaha kama hii

 

nimekuelewa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…