Hili Jengo la Chuo gani hapa Tanzania?

Hili Jengo la Chuo gani hapa Tanzania?

Mwanaukweli

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2007
Posts
4,789
Reaction score
1,732
IMG_8209-940x310.jpg
 
Kitakuwa ni Chuo Kikuu kinachomilikiwa na Dhehebu la kidini.Hilo Jengo limeandika 'Bishop Joseph Building'
 
Hao jamaa wanazidi kujenga jiji la Mungu
 
Nasubiri picha za jengo jipya kama lipo la kile chuo kikuu alichotoa Mkapa kama asenti kwa ndugu zetu waisalamu,sijui kama wamejitutumua angalau kuongezea majengo mengine au ndio yaleyale ya Tanesco
 
Oh, hawa jamaa kila mwaka wanasonga mbele.

Very nice.

Hongera Dr. Charles Kitima.
 
nasubiri picha za jengo jipya kama lipo la kile chuo kikuu alichotoa mkapa kama asenti kwa ndugu zetu waisalamu,sijui kama wamejitutumua angalau kuongezea majengo mengine au ndio yaleyale ya tanesco

wanakuja wenyewe kukujibu subiri!
 
Nasubiri picha za jengo jipya kama lipo la kile chuo kikuu alichotoa Mkapa kama asenti kwa ndugu zetu waisalamu,sijui kama wamejitutumua angalau kuongezea majengo mengine au ndio yaleyale ya Tanesco

Wao wanaongeza mabanda yakufugia kuku
 
Back
Top Bottom