Hili Jembe Jamani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili Jembe Jamani!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Masanilo, Sep 30, 2010.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kwanza nawashukuru sana wapya, cousins, madada, wakaka kwa mchango wenu uliotukuka jana! Lakini inaonyesha huyu rafiki yangu jembe lake kwa kipindi kile (>10years) lililinatumika katika kilimo cha nyanda za juu pekee ( a.k.a kuongea na mic) na idara zingine(mikono) kutumika katika kilimo cha nyanda za chini (a.k.a fingering) ili kuleta haki sawa kwa wote katika shughuli nzima ya kilimo.

  Hivi inawezekana jembe kupungua kwa kutokulima katika udongo laini wenye tifutifu nzuri ya kustawisha mazao bora unaopatikana nyanda za chini?

  Mhhhhhh
   
 2. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Bado, fafanua vizuri!nyanda za chini zipi?kule makondeni au kwenye tambarare?
   
 3. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  we nawe em fanya majaribio ndo ulete hoja ikiwa na majibu sahihi
   
 4. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,430
  Likes Received: 2,009
  Trophy Points: 280
  huyo mtu alikuwa na matatizo gani mpk jembe lake likae muda wote huo bila kulima udongo laini wenye chem chem na rutuba na unaoweza kutoa mazao mazuri?

  na kama alitumia sana jembe la mkono (kilimo kwanza) hatakuwa kesha athirika kisaikolojia akikutana na udongo laini akipiga jembe moja tu kwenye udongo jembe linalala
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Si kwamba jembe linaweza kuwa lina lima hata visiki maana litakuwa linacompasate ilichokosa?
   
 6. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Tatizo si tu ubora wa shamba na aina ya udongo bali hata jembe lenyewe, je nlina mpini ulio imara?
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mpini mrefu na Imara Mkuu!
   
 8. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hili swali ingekuwa vizuri kama kuna padre humu autuelezee maana wao asilimia kubwa lina apply na asilimia nyingine wao huwa wanatumia majembe kutifua mirefereji ya samdi.... kwa wanaotifua mifereji ya samadi hawana cha kutuambia ila wale wanaofuga majembe ndio wenye kutujuza...
   
 9. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mtumishi yaani rafiki yako ndo alikupa detailz zote hizi?
  anyway,litakua na kutu kidogo lkn likishaanza kulima tena litanolekea huko huko ardhini kama hakuna matatizo mengine lkn.
   
 10. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  duh! hawa si hawatakiwi kabisa kulima mkuu?
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Oct 1, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hakuna tatizo ni la MCHINA ndio maana
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Oct 1, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  jembe made in china
   
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  Oct 1, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,052
  Trophy Points: 280
  Jembe langi limegeuka mwanzi a.k.a bamboo
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Oct 1, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wazee wamekutenda hadi jembe lako likageuka mwanzi haukutembea na binti wa mtu
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Oct 1, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,052
  Trophy Points: 280
  Lantisha mwana wa mwenzenu
   
Loading...