Hili jambo limeniumiza sana

Inaumiza sana
 
Pole jamani nawe na ahsante sana
 
Pole, msamehe mama! Hiyo username yako ungebadilisha, unajiita manunguniko maisha yako yatakuwa hivyo hivyo. Jipende wewe mwenyewe kwanza, maneno huumba!
Shukrani mkuu
 
Nitazingatia sana ushauri nashukuru
 
Umenifanya niwe na amani kwamba pengine ni kawaida ya baadhi ya wazazi
 
Mama ni mama mkuu wengne hatujamwona mama since tupo vichanga mshukuru Mungu kwa kila jambo na msamehe mama yako kwani atabaki kuwa mama yako tu no way... Ningekua nae hata wa hvo ningefrah sana R.I.P ma lovely Mom...[HASHTAG]#Deis[/HASHTAG]
Pole sana muombee aendelee kupumzika kwa amani
 
Shukrani dada kwa ushauri mzuri msamaha ni jambo ambalo napaswa kulitenda.
 
Shukrani mkuu
 

Ndio mama inabidi uende naye taratibu atajifahamu
 
kitu gani ulimfanyia mama ako mpka akawa na chuki hiyo,,,na unahakika ni bilogical mother??
 
MI NAE ANGEKUFA KAMA ALIVOKUFA BABANGU!

mambo ya mama ni mungu wa pili asee hapana!
MAMA NI MAMA!
MUNGU NI MUNGU !
MAMA ALIUMBWA NA MUNGU KAMA ALIVONIUMBA MIMI!
kama sina maisha kwenye maisha yake,
she wont have in mine!
HIIIIIIIVYO TU YANI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…