Hili jambo limenistua sana

Hili jambo limenistua sana

Leomimi

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Posts
2,547
Reaction score
874
JANA MAJIRA YA MCHANA KUNA KIPINDI KILIKUWA REDIONI WAKIZUNGUMZIA MADAWA YA KULEVYA JINSI YA KUSAFIRISHA NA NI JINSI GANI HATA MAOFISA WAKUBWA WA IMIGRATION WANAJUA KWA KUWA WANAHUSISHWA KIPESA, NILIOGOPA NA KUONA HIKI NINI NDANI YA TANZANIA HII, HILO DOGO MTOA MADA AKASEMA INASEMEKANA KUNA WAFANYABIASHARA WA HIZO DAWA KWA SAS WANAWEKA MPAKA KWENYE ICE CREAM ZILE AMBAZO WANAKULA WATOTO WETU KULE MASHULENI ILI WAZOEE HIYO HALI NA WATAPOKUWA WAKUBWA TAYARI WATAKUWA WAMEZOEA HIYO DOZI KWA IYO SIO RAHISI KUACHA, HAPO MAANA YAKE WAENDELEE KUPATA WATEJA WENGI SIKU ZIJAZO NILISISIMKWA NA MWILI NIKASEMA MASKINI TAIFA LETU LITAKUWA NI LA AINA GANI? WANAJAMVI HILI BILA KUWEKA TOFAUTI ZETU ZA SIASA EMBU SASA TUZUNGUMZIE UTAIFA HAPA JE HILI JAMBO NI LWELI NA KAMA KWELI SERIKALI INATAMBUA, KAMA KUNA ANAEJUA ATUJUZE KWA KWELI NI MARA YANGU YA KWANZA JANA KUSKIA HILI LINALOHUSU WATOTO WASIO NA HATIA MUNGU IBARIKI AFRICA MUNGU IBARIKI TZ.asante
 
Wanao ushahidi kweli? Hikitu haijakaa vizuri. copy chama
 
Last edited by a moderator:
Nimesikia redioni jana siwezi kusema ninauhakika ndio maana nimejaribu kuleta uzii huu jf najua haliaribiki neno pengine wapo waliosikia au kujua hili before mimi
Wanao ushahidi kweli? Hikitu haijakaa vizuri. copy chama
 
Last edited by a moderator:
jana majira ya mchana kuna kipindi kilikuwa redioni wakizungumzia madawa ya kulevya jinsi ya kusafirisha na ni jinsi gani hata maofisa wakubwa wa imigration wanajua kwa kuwa wanahusishwa kipesa, niliogopa na kuona hiki nini ndani ya tanzania hii, hilo dogo mtoa mada akasema inasemekana kuna wafanyabiashara wa hizo dawa kwa sas wanaweka mpaka kwenye ice cream zile ambazo wanakula watoto wetu kule mashuleni ili wazoee hiyo hali na watapokuwa wakubwa tayari watakuwa wamezoea hiyo dozi kwa iyo sio rahisi kuacha, hapo maana yake waendelee kupata wateja wengi siku zijazo nilisisimkwa na mwili nikasema maskini taifa letu litakuwa ni la aina gani? Wanajamvi hili bila kuweka tofauti zetu za siasa embu sasa tuzungumzie utaifa hapa je hili jambo ni lweli na kama kweli serikali inatambua, kama kuna anaejua atujuze kwa kweli ni mara yangu ya kwanza jana kuskia hili linalohusu watoto wasio na hatia mungu ibariki africa mungu ibariki tz.asante

imekuwa bahati mbaya sana kuwa watu wengi hawaelewi jinsi taratibu za airport zinavyofanya kazi.kumekuwa na thread nyingi sana zikizungumzia unga kupita airport bila kuzingatia mazingira halisi ya utendaji kazi wa kazi airport.hivi afisa uhamiaji anahusikaje na maswala ya kusafirisha unga?biria ameshafika kwenye ukaguzi na kakaguliwa na maafisa usalama wa airport,kaenda ku check inmizigo yake counter halafu ndio anaenda uhamiaji kugonga passport sasa hapo uhamiaji wanahusikaje?wao kazi yao ni kukagua passport tu ya abiria na kama document zake ziko sahihi anaruhusiwa kuendelea na safari.sasa hapo uhamiaji atajuaje kama mtu amebeba unga au la?uhamiaji hawafanyi ukaguzi wa abiria wala mizigo yake sasa watajuaje kuwa mtu kabeba unga?imekuwa ikinishangaza sana tangu sakata la masogange basi thread zinazoandikwa humu ni chache sana zinazojua taratibu za airport,wengine wanaandika kwa hisia zao tu na sio facts
 
Wanao ushahidi kweli? Hikitu haijakaa vizuri. copy chama
Mamndenyi

Kuyatia kwenye ice cream hilo sina uhakika nalo kumbuka unga ni sumu ukiutumia kama chakula sioni wapi utaponea acha tuwasiliane na mkemia mkuu wa Chadema Ben Saanane atupe habari zaidi kwani yeye katika fani hii ni mtalaam namuaminia
 
Last edited by a moderator:
Hilo la kuwawekea unga kwenye ice cream linatia wasiwasi. Lina ukweli wowote? Kama jibu ndio basi kizazi chetu kina mashaka sana!
 
Mmuhamiaji ndio mambo ya ndani na pia ukuacha kugonga pasport na ukaguzi wanafanya kuna ndugu yangu anafanya humo na silaha anayo ya utendaji kwa cheo chake huwa ni kama askari any way kuna jamaa yeye alikuwa punda na jana alikuwa anatoa ushaidi ni jinsi gani uhamiaji wanavyohusika hao jamaa kupita na alikiri njia ni hiyohiyo sema jamaa mtandao wao ni mkubwa na wanaohongwa sio watu wadogo ki utendaji huko uhamiaji ngoja wengine waendelee kutujuza ndio raha ya jf
 
Kama wanaweka hadi kwenye Ice Cream basi wengi wetu ni mateja ila hatujijui, :car:
 
Kizazi cha mateja oyaaaaaaa! Ndiyo maana nikifundisha matoto yetu hayaelewi watapona wakijijini tuu maana hataumeme wa kugandishia ice creem hakuna poor Tz

"Nchi ngumu hii"
 
Ili lakutiwa ndani ya Ice Cream ni uongo ambao hata mwanangu Joaquim huwezi muongopea.Nimezaliwa na kukulia maeneo ambayo Cocaine inavutwa mpaka na wazee (Tandika) hivyo najua jinsi gani mzungu (muuzaji)na mtumiaji walivyo bahiri ktk kutumia unga kwenye matumizi mengine (kama hayo ya kutia kwenye ice Cream )namaanisha mzungu hata awe baba yako hawezi kukupa kete ya bule sembuse kutia kwenye ice Cream , hiyo haiingii akilini.
 
Kitoabu umeambiwa wanafanya ivyo kwa kutengeneza soko la kudumu baadae au hujawai kufanya risk for the next use?
 
Mmuhamiaji ndio mambo ya ndani na pia ukuacha kugonga pasport na ukaguzi wanafanya kuna ndugu yangu anafanya humo na silaha anayo ya utendaji kwa cheo chake huwa ni kama askari any way kuna jamaa yeye alikuwa punda na jana alikuwa anatoa ushaidi ni jinsi gani uhamiaji wanavyohusika hao jamaa kupita na alikiri njia ni hiyohiyo sema jamaa mtandao wao ni mkubwa na wanaohongwa sio watu wadogo ki utendaji huko uhamiaji ngoja wengine waendelee kutujuza ndio raha ya jf

kamahukuelewa basi alyekupa maelezo ndo hakuyatoa vizuri.nilichokisema ndicho hufanyika
 
Mzungu wa unga maisha yake ni nusu jela nusu uraiani kama mtaani kwako wapo waulize ni mzungu wa unga yupi atakaekubali kuwekeza kwa mtoto eti ili baadae apate soko
Kitoabu umeambiwa wanafanya ivyo kwa kutengeneza soko la kudumu baadae au hujawai kufanya risk for the next use?
 
imekuwa bahati mbaya sana kuwa watu wengi hawaelewi jinsi taratibu za airport zinavyofanya kazi.kumekuwa na thread nyingi sana zikizungumzia unga kupita airport bila kuzingatia mazingira halisi ya utendaji kazi wa kazi airport.hivi afisa uhamiaji anahusikaje na maswala ya kusafirisha unga?biria ameshafika kwenye ukaguzi na kakaguliwa na maafisa usalama wa airport,kaenda ku check inmizigo yake counter halafu ndio anaenda uhamiaji kugonga passport sasa hapo uhamiaji wanahusikaje?wao kazi yao ni kukagua passport tu ya abiria na kama document zake ziko sahihi anaruhusiwa kuendelea na safari.sasa hapo uhamiaji atajuaje kama mtu amebeba unga au la?uhamiaji hawafanyi ukaguzi wa abiria wala mizigo yake sasa watajuaje kuwa mtu kabeba unga?imekuwa ikinishangaza sana tangu sakata la masogange basi thread zinazoandikwa humu ni chache sana zinazojua taratibu za airport,wengine wanaandika kwa hisia zao tu na sio facts
kwa sisi watu wa huko mipakani (aiport, bandari n.k) mtu wa kukaba ni polisi na t.r.a customs department hapo ndiyo mambo yanapoanzia wengine ni wazibwa mdomo tu
 
Kizazi cha mateja oyaaaaaaa! Ndiyo maana nikifundisha matoto yetu hayaelewi watapona wakijijini tuu maana hataumeme wa kugandishia ice creem hakuna poor Tz

"Nchi ngumu hii"

mh; hata huku hatuna uhakika, lakini pia ujiaowa obama na mpango wa umeme vijijini, bado si salama hata huko: Cha msingi hii biashara tuikatae watz wote kwa umoja wetu kwani hata huyu wa kijijni ipo siku atakuja huko mjini!

madhara yake ni makubwa mno...
 
Back
Top Bottom