Hili jambo limenisikitisha sana

Tatizo wanaleta chai bila Maandazi, basi hata kashata!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
japo simtetei mtoa mada lkn madakatri wa siku hizi baadhi yao wameshindwa kabisa kuficha siri za wagonjwa, pili labda huyo Dr ni hawa wa tibalishe ameona jamaa hawez kupona aka amua azunguke upande wa pili mtoto apatikane aonekane tiba yake inafaya kazi
hii ni stori ya kutunga ingawa ina mafunzo fulani,hakuna dokta ambae atatoa siri ya mgonjwa kwa mtu mwingine ha ha ha we kiboko

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii chai ina chumvi aiseeh..
Kwanza hakuna doctor wa hivyo anayetoa siri za watu kwenye simu kisa tu umesema wewe ni mke wake...
 
Kwa hali hii mwacheni shigongo atajirike tu

Sent from my TECNO LC6 using Tapatalk
 
Hela haijawahi maliza shida zote hapa ndio ukuu waMungu na uwepo wake ndipo unapoonekana.
 
Professional ethics ziko wap? Dr gani Huyo kutoa siri za client?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…