Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,580
Ile tabia ya ubongo kutokufanya vitu kwa wakati mfano.
Mtu anakwambia kitu unakuja kumwelewa badae Sana.
Mtu anaongea jambo la kuchekesha kwa wakati huo hata hucheki unakuja kugudua badae na kucheka.
Yapo matukio mengi unakuta ubongo unayatafsiri wakati ambao yanakuwa yashapitw na wakati
Hili ni tatizo gani wadau