Unasaka ukatibu tawala au ukuu wa wilaya? Nenda kwa Lipumba kawe mpambe wake kwani mnampatia pesa za walipa kodi kienyeji alafu mdai Nchi ina Amani? Nyie ndiyo mnaivunja Amani kwa matendo yenu ya ajabu ajabu.Yaani kwa sasa tunachokiona ndani ya NCHI yetu ni wapinzani kuja ni mbinu mpya ya kipuuzi kabsa ya UVUNJIFU WA SHERIA na KUHATARISHA amani ya nchi yetu MAKUSUDI KABSA ili mwisho wa SIKU wakiishia MIKONONI mwa POLISI ionekane UPINZANI wanaonewa na UTAWALA wa sasa na hii ni moja ya MBINU YAO MPYA YA KUPAMBNANA UTAWALA ULIOPO NA KUTAFUTA HURUMA YA WANANCHI NA KUCHAFUA TASWIRA YA NCHI YETU......hili halikubaliki KABSA
Kwani hao Wapinzani siyo nchi yao??Aliyekwambia nchi ni ya CCM nani??Nenda kamwambia aliyekutuma Tanzania yetu soteYaani kwa sasa tunachokiona ndani ya NCHI yetu ni wapinzani kuja ni mbinu mpya ya kipuuzi kabsa ya UVUNJIFU WA SHERIA na KUHATARISHA amani ya nchi yetu MAKUSUDI KABSA ili mwisho wa SIKU wakiishia MIKONONI mwa POLISI ionekane UPINZANI wanaonewa na UTAWALA wa sasa na hii ni moja ya MBINU YAO MPYA YA KUPAMBNANA UTAWALA ULIOPO NA KUTAFUTA HURUMA YA WANANCHI NA KUCHAFUA TASWIRA YA NCHI YETU......hili halikubaliki KABSA
NENO. ..HAKUNA LITAKALO MSHINDA MWENYE ENZI MUNGU. ...HII SERIKALI NI SHINA LA MBUYU HAITATIKISIKA MILELE. .Yaani kwa sasa tunachokiona ndani ya NCHI yetu ni wapinzani kuja ni mbinu mpya ya kipuuzi kabsa ya UVUNJIFU WA SHERIA na KUHATARISHA amani ya nchi yetu MAKUSUDI KABSA ili mwisho wa SIKU wakiishia MIKONONI mwa POLISI ionekane UPINZANI wanaonewa na UTAWALA wa sasa na hii ni moja ya MBINU YAO MPYA YA KUPAMBNANA UTAWALA ULIOPO NA KUTAFUTA HURUMA YA WANANCHI NA KUCHAFUA TASWIRA YA NCHI YETU......hili halikubaliki KABSA
Wameanza kupokea kipigo atakuwa Waziri wa MagazetiKweli mbaazi zikishindwa kuzaa huzingizia jua! Yaani taswira ya nchi yetu aharibu mwenyekiti wako wa chama( sizonje) halafu mzigo uwabebeshe wapinzani!
Tena umwambia sisi huku Nanjilinji tunasubiri zile Mil50 kwa kila kijiji na Laptop kwa kila mwalimu!
Huku tunaendelea kuhifadhi vichinjio vyetu [HASHTAG]#2020[/HASHTAG] hafurukuti!
Mkuu kuwa makini sifa za kijinga zitakukosti, sikio halizidi kichwa!huyu mkuu akili zake kama yule kila.za mkuu..debe kwa ng'ombe tatu..
Umetumia bangi ya wapi leo?Yaani kwa sasa tunachokiona ndani ya NCHI yetu ni wapinzani kuja ni mbinu mpya ya kipuuzi kabsa ya UVUNJIFU WA SHERIA na KUHATARISHA amani ya nchi yetu MAKUSUDI KABSA ili mwisho wa SIKU wakiishia MIKONONI mwa POLISI ionekane UPINZANI wanaonewa na UTAWALA wa sasa na hii ni moja ya MBINU YAO MPYA YA KUPAMBNANA UTAWALA ULIOPO NA KUTAFUTA HURUMA YA WANANCHI NA KUCHAFUA TASWIRA YA NCHI YETU......hili halikubaliki KABSA
ndo umeongea niniYaani kwa sasa tunachokiona ndani ya NCHI yetu ni wapinzani kuja ni mbinu mpya ya kipuuzi kabsa ya UVUNJIFU WA SHERIA na KUHATARISHA amani ya nchi yetu MAKUSUDI KABSA ili mwisho wa SIKU wakiishia MIKONONI mwa POLISI ionekane UPINZANI wanaonewa na UTAWALA wa sasa na hii ni moja ya MBINU YAO MPYA YA KUPAMBNANA UTAWALA ULIOPO NA KUTAFUTA HURUMA YA WANANCHI NA KUCHAFUA TASWIRA YA NCHI YETU......hili halikubaliki KABSA