Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
[emoji38][emoji38][emoji38]
Sio bure, kuna kitu kimejificha![emoji38][emoji38][emoji38] View attachment 979905
U-turn hiyo mkuu!!
La leo hilo ila habari ni kuu front page Membe alivyoiba pesa za kiwanda cha saruji lindi[emoji38][emoji38][emoji38] View attachment 979905
Lime editiwa hilo[emoji38][emoji38][emoji38] View attachment 979905
Bwana MisibaBado sijaamini
U-turn ya photoshop.U-turn hiyo mkuu!!
Hilo limechezewa, Heading hiyo si ya kweli. Angalia kwa umakini lilivyofutwa, kisha tazama dondoo zake uoanishe na kichwa cha habari.Watanzania watu wa kuchezewa sana, ingekuwa Mwananchi ama Tanzania daima imeandika ingekuwa habari na kesho hata kama ni Jmosi wangefungiwa!!