Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,157
- 166,119
Hayo magari ya ulaya ukiangalia mafuta tu hutakaa muda mrefu litakushinda na utakumbuka Vits yako! Kuna issues zaidi ya mafuta.
Daah Mkuu nina Suzuki CC2500 mafuta ya 10000 km huthubutu kuwasha AC
Baelezee hiyo gari ikizingua spea kama haupo fiti unaipaki unakuwa Mjamaa.Hayo magari ya ulaya ukiangalia mafuta tu hutakaa muda mrefu litakushinda na utakumbuka Vits yako! Kuna issues zaidi ya mafuta.
Dadavua fundi
Ha haaaa, nyie mnalia na vigari vya CC 2500? Je sisi wenye ma Range Rover ya cc 4600 alafu engine ya Petrol tusemeje?
Una maanisha nini mafuta ya 10000 km
Inaweza kuwa inatumia mafuta kama Vits ila ikipeleka service unaacha 500,000/- au ukipasua taa 1.5m..si ushawahi kusikia BI-XENON head lamps?! Ukinunua gari inabidi uzingatie vigezo vingi sio kimoja tu kama mafuta.
Inaweza kuwa inatumia mafuta kama Vits ila ikipeleka service unaacha 500,000/- au ukipasua taa 1.5m..si ushawahi kusikia BI-XENON head lamps?! Ukinunua gari inabidi uzingatie vigezo vingi sio kimoja tu kama mafuta.
elfu kumi akili ilikuwa kwenye km nikachapia...ila usimwambie mtu!
Ndo maana watu wanakuwa wakali wanapoguswa au kukwangliwa? Binafsi kama gari inanipa utility na kuifurahia basi nitaihudumia kwa mapenzi ya dhati as long as hyo hela ya service inakuwa compasatef kwenye mafuta. Naoma picha yake mkuu.
Kuna gari fuel consumption ni nzuri lakini inapokuja swala la service na body parts ndio tabu inaanza.
Discovery 3, Audi q7,vw touareg zote zipo za 3.0TDi, zinatumia wese vizuri sana! Ila maintance ndio balaa.