Kama wewe huzioni fursa zilizopo, kaa ulale.
Eti magari, ulikatazwa kutumia frsa nawe ukanunuwa la kwako? hata hausigeli wangu ana gari.
Yaani siku yakifanyika mashindano ya watu wapumbavu na wapuuzi hapa duniani lazima uchukue kombe.Kwa hivyo kuiba pesa za umma na kununua magari mazuri ndo fursa hiyo?
Wewe unaongelea kuiba pesa za umma, vipi hapo Mbowe hayumo? aliyewauzia Mafuso mtumba kwa bei ya zaidi ya mapya, na usisahau, hizo ni pesa za walipa kodi.
Vipi Slaa anapojikopesha mamilioni kujenga jumba la kifahari Dar, ambapo siyo kwao, kwa sababu tu ya kupora mke wa mtu na kuzaa nae na lazima amjengee.
Kumkodihia hausigeli wa hawara vyumba vya 5 star hotel kwa pesa za walipa kodi. Hiyo kwako ni sawa?
Mwizi ni mwizi tu awe serikalini au nje ya serikali.
Mama Faiza Fox sio kila kitu ni issue ya Mbowe na Slaa....mengine ni mambo ya utaifa zaidi na maadili kuliko vyamaWewe unaongelea kuiba pesa za umma, vipi hapo Mbowe hayumo? aliyewauzia Mafuso mtumba kwa bei ya zaidi ya mapya, na usisahau, hizo ni pesa za walipa kodi.
Vipi Slaa anapojikopesha mamilioni kujenga jumba la kifahari Dar, ambapo siyo kwao, kwa sababu tu ya kupora mke wa mtu na kuzaa nae na lazima amjengee.
Kumkodishia hausigeli wa hawara vyumba vya 5 star hotel kwa pesa za walipa kodi. Hiyo kwako ni sawa?
Mwizi ni mwizi tu awe serikalini au nje ya serikali.
Yaani siku yakifanyika mashindano ya watu wapumbavu na wapuuzi hapa duniani lazima uchukue kombe.Kwa hivyo kuiba pesa za umma na kununua magari mazuri ndo fursa hiyo?
Inabidi serikali iangalie hii sehemu ya muhimu kwa jicho pana zaidi,hii ni pamoja na kuboresha hili daraja mana nimepita hapo muda si mrefu mto umejaa balaa maji yameanza kupanda hadi darajani,na mvua bado zinaendelea kunyesha.ikiendelea hivi kwa siku mfululizo laweza kusombwa kwa mara nyingine.So nadhani serikali ingejipanga kwa hili.
Kama wewe huzioni fursa zilizopo, kaa ulale.
Eti magari, ulikatazwa kutumia frsa nawe ukanunuwa la kwako? hata hausigeli wangu ana gari.
huyu anaweza kuwa ndio serikali,maana huwa nasoma comment zako nashindwa kupata majibu.nitakutafuta hata PM unisaidie jambo langu
Kwako Mbowe na Slaa ni kama hewa usipowataja unakosa pumzi?
sijui kama umeelewa vizuri kweli.naona uliyoandka nitofauti na alieleta mada.Kuna watu humu hawana akili kabisa hata mafuriko wanataka kuilaumu serikali, nendeni basi mkayazuwie kama serikali imeshindwa. Kuna mtu aliwazuia kuyazuwia?
Hizo ni akili za gongo kama za Slaa.
Wewe ni kopo kweli, mimi nilidhani utasema ndege! Unaambiwa barabara ni mbovu!, unaleta porojo zako za fursa.sasa hata hiyo gari akiwa nayo ataipitisha wapi wakati daraja ni barabara umeambiwa imeharibiwa na mvua!
sijui kama umeelewa vizuri kweli.naona uliyoandka nitofauti na alieleta mada.
Soma posts zote ujionee, wewe unafikiri kila kitu humu kimo kwenye post ya mleta mada tu?
MtumeeeeeeeeeeeeeeeeWewe unanyonywa nini? unajuwa maana ya mafuriko wewe?
Wewe unanyonywa nini? unajuwa maana ya mafuriko wewe?