Inabidi serikali iangalie hii sehemu ya muhimu kwa jicho pana zaidi,hii ni pamoja na kuboresha hili daraja mana nimepita hapo muda si mrefu mto umejaa balaa maji yameanza kupanda hadi darajani,na mvua bado zinaendelea kunyesha.ikiendelea hivi kwa siku mfululizo laweza kusombwa kwa mara nyingine.so nadhani serikali ingejipanga kwa hili.
...nimepita hapo muda si mrefu ...
mtakuwa mko safari moja aiss!hamfahamiani?...mwenyewe nimepita si muda mrefu ...!
Tatizo sio hali ya hewa mkuu, kwani ni Tanzania pekee pananyesha mvua? Hii ni kutokua ni miundombinu bora, kila kitu kinalipuliwa lipuliwa tu..Kila mtu anaiba, unadhani ubora utatoka wapi? Kwa kweli hii inauma sana kwani sisi watoa kodi ndio tunanyonywa.dah!
hii nchi, mvua shida, jua shida.
Tatizo sio hali ya hewa mkuu, kwani ni Tanzania pekee pananyesha mvua? Hii ni kutokua ni miundombinu bora, kila kitu kinalipuliwa lipuliwa tu..Kila mtu anaiba, unadhani ubora utatoka wapi? Kwa kweli hii inauma sana kwani sisi watoa kodi ndio tunanyonywa.
Budget kubwa zinapitishwa lakini haifikishwi yote kwenye lengo kuu. Tusubiri tu, tuone mwisho utakua nini?hapo sasa! Alafu najiuliza kama lile daraja la mwanzo ambalo ni la muda mrefu japo sijui lilijengwa kwa muda gani na likabebwa sembuse hili ambalo limejengwa kwa muda mfupi? Ama?
Tatizo sio hali ya hewa mkuu, kwani ni Tanzania pekee pananyesha mvua? Hii ni kutokua ni miundombinu bora, kila kitu kinalipuliwa lipuliwa tu..Kila mtu anaiba, unadhani ubora utatoka wapi? Kwa kweli hii inauma sana kwani sisi watoa kodi ndio tunanyonywa.
Mkuu, najua hujua system inavvyofanya kazi, au labda unajua lakini unanufaika nayo..We unaona majumba ya kisasa yanajengwa na magari ya kifahari huko barabarani unadhani hii ni salary pekee? Usijaribu kufunika kombe mwanaharamu apite kwenye uchakachuaji kila kitu kinaonekana. Hayo sio mafuriko, huo ni mfumo mbaya ya miundombinu. naweza sema low cost infrastructure...Wewe unanyonywa nini? unajuwa maana ya mafuriko wewe?
Mkuu, najua hujua system inavvyofanya kazi, au labda unajua lakini unanufaika nayo..We unaona majumba ya kisasa yanajengwa na magari ya kifahari huko barabarani unadhani hii ni salary pekee? Usijaribu kufunika kombe mwanaharamu apite kwenye uchakachuaji kila kitu kinaonekana. Hayo sio mafuriko, huo ni mfumo mbaya ya miundombinu. naweza sema low cost infrastructure...
Kama wewe huzioni fursa zilizopo, kaa ulale.
Eti magari, ulikatazwa kutumia frsa nawe ukanunuwa la kwako? hata hausigeli wangu ana gari.