Waache kulalamikaLipigeni kiberiti
Na mnadharaulika sana yaniKwa hali hii ya maji, hili bango la kampeni ni kama kebehi kwetu sisi wananchi.
Kwa hali hii ya maji, hili bango la kampeni ni kama kebehi kwetu sisi wananchi.
Acheni kulalamikaKwa hali hii ya maji, hili bango la kampeni ni kama kebehi kwetu sisi wananchi.
Kwa nature ya Tanzania, sio nchi ya kuwa na shida na maji katika eneo lolote la nchiKwa hali hii ya maji, hili bango la kampeni ni kama kebehi kwetu sisi wananchi.
Inasikitisha nchi Za Middle East na North africa zote zipo jangwani au nusu jangwani pamoja na Namibia, Botswana na baadhi ya maeneo ya Afrika kusini.Kwa nature ya Tanzania, sio nchi ya kuwa na shida na maji katika eneo lolote la nchi
Ila kweli aisee, wewe umeona kwa engo nyingine yenye mantikiHii ishu ya.maji ni ya kutengeneza mjadala wa nchi uhame badala ya wananchi kudai Ndugu zao waliofukiwa kibabe pale makaburi ya kondo Kunduchi/bahari beach wasahau hilo
Mvua hakuna maeneo mengi ya nchi. Na sehemu ya vyaanzo vinatumika Kwa ajiri ya maji ni ya kutega, ilihali Kuna maeneo mengi ya vyanzo vya maji ya kutosha pasipo ya kutega ya mvuaIla kweli aisee, wewe umeona kwa engo nyingine yenye mantiki