Hili bango limenifanya niwaze sana, una maoni gani?

Nimekuwa nikiposti kwa lugha ya Kiingereza lakini hujawahi kunikosoa isipokuwa hiki kiherehere chako cha kujifanya unajuwa KKiswahili na hali ni Wakuja.
Ha ha haaa nimeamini kuwa wewe ndiye uliyeandika bango eti ulikuwa ukipost kingereza ha ha haa sasa kimeenda wapi au mwenye dictionary kaichukua usifurahishe walionuna kwa ugumu wa maisha.
 
Mwalimu anafundisha au Anasomesha? kitendawili hiki tena? nenda tuition ya Kiswahili mtu wangu labda utajanjamka

Wewe mbona punguani wewe hivyo unataka kushindana Kiswahili na mimi mwenye lugha? Kujaga na kufuataga haimo ndani ya kamusi ya Kiswahili na wewe naona unatumia. Okay basi natutumie hiyo lugha unayoijuwa wewe hata ukaweza kuona makosa kwenye bango> Posti inayofuata andika Kingereza unijaribu kwani Kiswahili unaona sikijuwi.
 
Ha ha haaa nimeamini kuwa wewe ndiye uliyeandika bango eti ulikuwa ukipost kingereza ha ha haa sasa kimeenda wapi au mwenye dictionary kaichukua usifurahishe walionuna kwa ugumu wa maisha.

Naona sijakuelewa unabwabwaja nini hapa. Kumbe Hujuwi Kiswahili wala hicho Kingereza kwani angalau ungekuwa shujaa wa kutosha kutaka kunijaribu.
 
Yamkini si shwari tena hapa JF; Nadhani mjadala ungejikita kujadili kama majeshi ya Umoja wa Mataifa yapo sahihi au hayapo sahihi kuweka "No fly zone?" nini faida yake na nini madhara yake hasa kwa waafrika kwa hoja na mifano halisi, badala ya lugha iliyotumika kufikisha ujumbe, hii inakuwa siyo aibu ya wachangiaji peke yako bali inakuwa aibu kwa JF-members wote.

Maana umahiri wa kubishana ungekuwa juu ya kujenga hoja ya kutetea, kuunga mkono au kupinga Majeshi ya UN, na siyo kujadili uwezo na dini ya waliobeba au walioandamana na huo ujumbe ulio katika hilo bango.

Habari ikisha kuwa ya kisiasa ni habari ya jamii yote, na hivyo inatakiwa kujadiliwa kwa hoja pevu na kwa kuheshimiana bila kuweka itikadi, kama alivyochangia MMKJJ kama kuna tu alitaka kutoka nje ya ujumbe wa "No fly zone" angeonekana amekomaa zaidi kifikra kama angeelezea husiano wetu wakushindwa kuandika kiiingereza fahasa na mitahala yetu ya elimu pamoja na mfumo mzima wa elimu yetu ya Tanzania. Jueni kuwa hapa Tanzania hamna mfumo wa elimu ya Kiislam wala hakuna Mfumo wa Elimu ya Kikisto! Madhambi ya kupwaya kwa uwezo wetu kutokana mfumo wa Elimu hayawezi kuepushwa kubebeshwa CCM yakabebeshwa dini fulani, huko ni kufinyanga ubongo badala ya kuuwacha huru upumue.

Bahati mbaya JF hatuna Jukwaa la malumnano ya kidini watu wanaopenda hayo wangeamishiwa huko! lakini hata kama mkipewa jukwaa la malumbano ya kidini bado sioni kama mnajua mnacholumbania maana elimu ya Darasani inahusianao gani na dini au elimu ya dini ina uhusiano gani na elimu ya darasani?

Mjinga ni mjinga tu hata kama akiwa ana dini au hana dini. Pia wapo Wapumbavu walioenda shule na Werevu ambao hawajawai kwenda shule, msifanye hapa kuwa kijiwe cha kujadili upuuzi
 

Welldone Brother. Nimependa hii.
 

Haaaaaa hah hah. Ass of God.
 


mhhhh,jaman wakubwa punguzeni jazba!
 
We need to ask allah now, ha ha ha ha ha ha ha ha ha maana kama msaidizi wake wa nchini Tanzania ndio hivyo tena, the only one left is allah, Please allah, can you help us here?

Acha kuandika upupu. IDIOT.
 
Kama wewe si Mpemba basi utakuwa maalim wa madrasa maana hao ndio wanasema kusomesha badala ya kufundisha wanasema skuli badala ya shule au utakuwa umesaidia kuandika bango.

Hebu kawaulize wanaojua. KISWAHILI FASAHA kinazungumzwa wapi? Eti shule!!! Pumbaf.
 

Hawawezi chochote: hawawezi hata kujiongoza wenyewe- kwa uwingi wao ningetegemea wawe na taasisi nyingi, kubwa na efficient ktk nchi hii . Cha kushangaza viceversa remains true. Tuache kuwajadiri.
 

Edit kwanza mistari yako na ujue maana ya neno PUMBAF, hili kwetu tunameza na kuendelea na safari ungesema mie **** hapo ningekuelewa lkn Pumbafu duh, low level ndugu yangu, sijasoma kama unavyofikiria, mie ni mkulima lkn chakuombea maji nakijua hata nikiambiwa kuandika bango kamwe haliwi na mistakes kama za madrasa...wewe ni ......sijui nikuweke katika kategoria gani...
 
Kama wewe si Mpemba basi utakuwa maalim wa madrasa maana hao ndio wanasema kusomesha badala ya kufundisha wanasema skuli badala ya shule au utakuwa umesaidia kuandika bango.

Ni maalim kama Seif au?
 

hahahah eti kaona Mnasemaga limekosewa duh?ama kweli wewe ILMU madrasatul, huo ni msamiati endelevu mtu wangu, pitia pitia google kidogo basi wajameni upatage mambo mapya.....
 

Mkuu edit maneno then mistari maana inakuwa kama mipasho, Tofauti kati ya Skuli na shule nilipo REDISHA inakuwaje au pia ni msamiati?
 
WAARABU WEUSI, wangeandika Kiarabu kusingekuwa na kuchapia namna hiyo, wangepatia vizuri saaana ila kwa kuwa they are Black Arabs by manner and dressing, hatushangai
 


Kunilimisha kwenu huko pemba usidhani unanitesa au vipi ni mazoezi tu ya Viungo na bila kulima mie MSUKUMA sijisikii fresh so keep on doing it baby, kumenywa ndo nini? ndo ILIMU yenu inawasomesha hivyo? Unajuaje za wasukuma hazimenywi au IMEKUNYEA? toa ushuhuda ndugu, mwanajeshi hukaa gwandani ili ajulikane, siwezi chukua msichana kwenu maana hawana uzoefu wa mambo na mie msukuma napenda mechi za wazoefu sio maninja....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…