wewe wa wap, mbona mshamba mshamba sana? ukahaba wao una kuhusu nini? hachana na mambo ya kise** na ya kike. kama umeenda soma, soma achana nao. chakushangaa nini kama hayo yalikuwepo toka enz za sodoma na gomora??????????????????????????

sasa wewe ndo msomi na huko ndo mnatupeleka. na hii kuzuia sehemu mnazotukana watu tusitoe comment mnaboa sana. mungu atawalipa you are not too smart than god.
kwa hiyo mabinti huko chuoni hawasomi wanafanya kazi ya ukahaba? Data please!!!! Na kuna uhusiano gani kati ya hao mabinti kufanya hizo kazi za ukahaba na ufisadi na Rushwa?