cotyledon
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 2,246
- 1,594
Alifufuka mwenyeweKama Yesu ni Mungu nani alimfufua baada ya siku tatu???
Alifufuka mwenyeweKama Yesu ni Mungu nani alimfufua baada ya siku tatu???
Wakati Yesu anakufa msalabani alimwambia yule mwizi aliyeuliwa pamoja naye kwamba usiku ule atakuwa nayeKwaiyo alivokufa msalabani Dunia ikabaki Haina Mungu Kwa siku Tatu
Anaitwa MWENYEZIMUNGU,wewe unataka jina lipi au labda kama unataka sifa zake,yeye ni wa pekee hafanani na chochote hakuzaa wala hakuzaliwa mwenye kuhuisha mwenye kufisha na sifa nyingine nyingiJina la Mwenyezi Mungu unalijua unitajie?
Hata wale wanaoabudu Ng'ombe utetezi wao ni huo huo.Mtu ni nini?
Mtu Si mwili, mwili ni vazi la mtu ambaye ni ROHO.
Na Tuumbe Mtu Kwa Mfano wetu!!!!!
Mungu ni mtu, sababu mtu ni ROHO, anaweza kuvaa vazi la mwili, au akabaki na vazi la Roho kama Malaika walivyo.
Mtu amwaniniye Yesu ni WA MILELE, Hana mwisho. Mwili kama vazi la mtu wenye Damu na nyama ndo una mwisho.
Hata wale wanaoabudu Ng'ombe utetezi wao ni huo huo.
Tatizo linakuja pale ambapo ameshaelezea kuwa yeye yupo peke Ake,,ila tunalazimisha na mwingine yupo,Wakati mwingine tumwambie Mungu, tumechoka kukuelezea Kila mara Hadi sometimes kunakuwa na uvunjifu wa amani kisa yeye.
Kwanini Mungu kwenye mijadala ya kidini anajitenga?
Basi wenye majini na maruhani wasubughuziwe maana kumbe kuna roho wanaziabudu.Yesu na Mungu ni mtu mmoja
Kinacho shindwa kutambuwa watu ni hivi
Mmoja hapa ni roho na ni invisible
Na mwingine ni visible
Huyu roho ili afamye kazi
Anahitaji huyu mwenye mwili
Ndo maana yesu alisema hivi
Mathayo 28:18
Yesu akaja karibu, akawaambia, “Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
Umeongea nini?Korani ingekiri kwamba Yesu ni Mungu Mohamed angekua irrelevant