Naona sasa akili zimewahama. Kuwepo kwa polisi ni kuhakikisha kuwa hakuna mtu atadhurika ( wanaohudhuria kikao, mashabiki na wapita njia)au mali kuharibiwa wakati wa uchaguzi. Na yote haya yamechangiwa na matamko na lugha mbaya ambazo mashabiki wa wagombea uchaguzi wamekuwa wakitupiana.
Wao walitegemea nini wakati wanawajaza watu upepo kuwa kura zitaibiwa? Ovyo kabisa.
Amandla...