Hiking in Tanzania

Hiking in Tanzania

king jafu

Senior Member
Joined
Sep 10, 2019
Posts
148
Reaction score
121
Mambo vipi wana JF

Mimi kwa sasa naishi kwenye jimbo la marekani linaloitwa West Virginia na nimetokea kuwa na marafiki ambao wanapenda kwenda outdoors adventures or hiking kwenye water falls mabonde milimani kwenye baadhi ya forest nilibahatika kwenda nao kwenye camp kipindi cha majira ya summer nikatokea kupenda ile hali ya kwenda kuweka camp nje ya mji sehemu zilizo tulia unaenjoy mandhari nzuri zilizo tulia.

Je? Swali langu napenda kujua mikoa gani ina mandhari nzuri ambayo naweza kwenda kuweka camp kwasiku mbili tatu nakuenjoy mandhari nzuri ya hali ya hewa au hiking kwenye waterfalls milima. Nihilo tuu wadau
 
Morogoro hauta jutia mzee nenda huko nilishafika huko zio baadhi ya video zimeshutiwa huko milimani nikali acha.
 
Kuna morogoro, Tanga nk karibu ndio niko nakampuni yangu ndogo yautalii nimeianzisha karibu. 0759407809
 
Back
Top Bottom