DC, wazazi kama hawa na akiwa na lengo kama hili hawezi kusubiri mpaka mtoto afikishe miaka 18, anaanza kumuweka karibu sana tangu akiwa mdogo... then anaamza kumfanyia hivyo vitendo kidogo kidogo at tender age, mtoto anaweza akadhani ni kitu cha kawaida na ma-zawadi na mapenzi yale anayoonyeshwa, akiambiwa usimwambie Mama naye anakaa kimya... kwa hiyo anavyozidi kukua na mzee anazidi kujivinjari... kwa sababu fikiria at 18yrs halafu baba aanze tu from nowhere kumweleza mambo kama hayo, lazima atashtuka...
Mom, nimepata shida sana kuelewa hii story. Naomba nisieleweke kuwa naunga mkono unyama aliofanya huyu baba. Lakini najaribu kujiuliza, hivi huyu mtoto walibakwa? Inawezekana mtoto alijilegeza kwa baba naye akafanya kama wanavyofanya baba wengine wapuuzi wanaotembea na watoto wao wa kuwazaa. Tatizo linaweza kuonekana kubwa kwa sababu huyu mtoto siyo wake na huyo baba mzazi ameona hicho kitendo kikamuuma! Kuna ugumu kidogo kuitafakari hii hadithi!
Kama ni kweli huyo jamaa ni mbinifu na mvumilivu wa ajabu!!! yaani amevumilia itakuwa kama miaka 18 hivi ili tunda likomae!!!!
Kutafuniwa mke inauma mno!! naona siyo vizuri alivyo fanya, ila ni adhabu safi sana kwa wakware wale!!!!??
sijawahi kuona kisasi cha namna hii sio bure huyu aliyemegewa mke ana akili kama za samaki ..
Anachofanya ni ukatili wa hali ya ajabu sana ,Mwanamke nae hapo inabidi avunje ukimya .....
Dunia hii imekwisha ni bora yesu kristu arudi upesi tunakoelekea siko kabisa
LOL........hii stori ni moja ya movie za kibongo nilizowahi kuangalia jina lake nimesahau.....inawezekana hao watu huko tandale walikuwa wanasimuliana hio movie.
sure ni laana, maana laana ni roho inayotembea kutoka kwa mtu hadi kwa mtu, usifikiri ni jambo jepesi mwanamke kutokuwa mwaminifu hadi kuzaa nje ya ndoa na mumewe yupo, kweli ni tamaa za mwili wake lakini kuza nako ni tamaa za mwili sa angezaa na mumewe, na hii sisue itawatafuna wate wawili.Ila huyo mtoto pia ana genes flani karithi kutoka kwa maza, 18yrs tayari amekuwa na akili zake timamu na anajua nini anafanya kama angekuwa hataki angesema, na hata kumshitaki huyo mdingi kwa ndugu jamani. Yawezekana pia ni laana coz huyo mama naamini bado hajatubu, angetubu mapema na kuweka kila kitu wazi yawezekana hayo yote yasingetokea. THE WORLD IS OVER AISEEE.
Mimi nashangaa sis hii stori haijakaa sawa sumsing is misng sumwhr.This cant be real na kama ni kweli then this is the most fucked up sht i ever read....SICK SICK SICK :A S-eek:..... if the girl is under 18 huyu moron lazima apewe punishment... kwani serikali ya TZ itamfanya nini mtu kama huyu?
Mimi nashangaa sis hii stori haijakaa sawa sumsing is misng sumwhr.
This cant be real na kama ni kweli then this is the most fucked up sht i ever read....SICK SICK SICK :A S-eek:..... if the girl is under 18 huyu moron lazima apewe punishment... kwani serikali ya TZ itamfanya nini mtu kama huyu?