Hiki si kisasi huu ni unyama! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hiki si kisasi huu ni unyama!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by AK-47, Jul 1, 2010.

 1. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Wana JF nimekutana na kisa ambacho kimeniacha na mshangao wa ajabu na kujiuliza hivi binadamu wengine kwenye vichwa vyao kunasehemu ya akili ?, Hii ni baada ya kusikia gumzo la vijana wa Uswazi eneo la Tandale ambapo mmoja alikua akimsimulia mwenzie mikasa ya jirani yao ambaye mkewe alimegwa na mfanyabiashara na kupata ujauzito...Jamaa alikaa kimya hajasema lolote na mtoto alipozaliwa ambaye ni wa kike akawa anafanana na huyo mfanyabiashara. Baba akaamua kumlea mtoto kwa mapenzi ya hali ya juu bila ya kuuliza chochote na binti alivyokomaa baba akaanza kummega huku akionyesha mapenzi yake wazi kwa mtoto huyo kwa mwizi wake mfanyabiashara. Hali hiyo imemuuma sana baba aliyeiba penzi na kufikia hatua ya kumueleza mke wa jamaa kuwa mtoto wetu anamegwa na mumeo. Mama kaishiwa nguvu hawezi kumueleza mumewe anajua so limebumbuluka... wote wanashindwa pa kuanzia. Inge kuwa wewe ungefanyaje ?
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Jul 1, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Ouuuch!! This is one hell of a weird, sick revenge, to put it mildly. Dude must be some kind of an evil genius.
   
 3. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Kama ni kweli huyo jamaa ni mbinifu na mvumilivu wa ajabu!!! yaani amevumilia itakuwa kama miaka 18 hivi ili tunda likomae!!!!
  Kutafuniwa mke inauma mno!! naona siyo vizuri alivyo fanya, ila ni adhabu safi sana kwa wakware wale!!!!??
   
 4. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kuna ushahidi gani kama anakula? Si ajabu jamaa kaamua kupritend tu ili amuumize jamaa!! Kama angekuwa kweli anamega basi mama mwenye nyumba angekuwa wa kwanza kujua kabla ya huyo mfanyabiashara. Binafsi namwona jamaa ni muungwana sana hata hivyo, kwa sababu angekuwa mwingine angekiua kitoto kikiwa bado kichanga.
   
 5. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  I feel sorry to the daugher kwa kuwa hana makosa. Na je huyo binti anafahamu kwamba huyo mume wa mama yake si baba yake mzazi?

  Ila kwa kifupi tu huyo jamaa siyo mtu mzuri, anaweza hata kumuua mkewe na huyo mkware wake siku moja. Mtu anayeweza kuweka kisasi kwa miaka zaidi ya 18 ni wa kuogopa sana! Au kaanza kummega huyo binti akiwa na umri chini ya miaka 18?
   
 6. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo bora anavyomtafuna huyo binti kuliko kama angemuua akiwa bado katoto kachanga!

  Na what if kama mtoto angezaliwa wa kiume, kisasi cha jamaa kingekuwaje?
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  sijawahi kuona kisasi cha namna hii sio bure huyu aliyemegewa mke ana akili kama za samaki ..
  Anachofanya ni ukatili wa hali ya ajabu sana ,Mwanamke nae hapo inabidi avunje ukimya .....
  Dunia hii imekwisha ni bora yesu kristu arudi upesi tunakoelekea siko kabisa
   
 8. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,881
  Likes Received: 20,936
  Trophy Points: 280
  LOL........hii stori ni moja ya movie za kibongo nilizowahi kuangalia jina lake nimesahau.....inawezekana hao watu huko tandale walikuwa wanasimuliana hio movie.
   
 9. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Kama aliweza kuweka kisasi kwa miaka yote na kuamua kummega binti sitashangaa kusikia binti ana mimba ya huyo sijui nimwite baba yake au nani?? Dunia ina mambo ya ajabu ajabu!!
   
 10. T

  Tall JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  1. Mtoto ni mtoto awe wa kumzaa mwenyewe au wa mkeo/mmeo bado ni mwanao,ni makosa kutembea nae.
  2. Hata siku moja katika mapenzi kulipiza si suluhisho,ukishalipiza unagundua kuwa bado tu hujafanya kitu.
  3.ningekuwa mimi baada ya kugundua kuwa mke wangu kazini na kuna ushahidi wa kutosha si kuoneana basi ndoa ingeishia hapo
   
 11. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Kama Baba, Mama, Mwizi au Mtoto??

  Kwa kweli this is sad... dunia umekwisha... hiki sio kisasi ni ukatili na udhalilishaji.... Lakini hata kama Mama atavunja ukimya alivyo-suggest FL1, imeshakuwa too late and may be the girl is pregnant if not HIV+... God Forbid ooh...:amen:
   
 12. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #12
  Jul 2, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hii hadithi inaonesha kuwa binadamu ni viumbe wa ajabu sana. Kuna mambo mengi unaweza kuwaza juu ya huyo baba alieyeamua kulipiza kisasi kwa njia ya kusikitisha kiasi hicho. Nashindwa hata kueleza zaidi ila atakuwa ni mtu hatari sana!
   
 13. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #13
  Jul 2, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  huyo ailebiwa mke ni katili sana, iweje umlee mtoto kama wako then uje umle mwenyewe? mtoto amekukosea nini? na huyo wenye mtoto si alitakiwa adai mtoto wake? real dunia hii inaelekea pabaya kama kisa hiki ni cha kweli
   
 14. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #14
  Jul 2, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hii nomaaaaaaaa
   
 15. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #15
  Jul 2, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mom, nimepata shida sana kuelewa hii story. Naomba nisieleweke kuwa naunga mkono unyama aliofanya huyu baba. Lakini najaribu kujiuliza, hivi huyu mtoto walibakwa? Inawezekana mtoto alijilegeza kwa baba naye akafanya kama wanavyofanya baba wengine wapuuzi wanaotembea na watoto wao wa kuwazaa. Tatizo linaweza kuonekana kubwa kwa sababu huyu mtoto siyo wake na huyo baba mzazi ameona hicho kitendo kikamuuma! Kuna ugumu kidogo kuitafakari hii hadithi!
   
 16. m

  mwalimally Member

  #16
  Jul 2, 2010
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duu! Kweli dunia ina mambo na ukiyastaajabu ya Musa utayaona ya Firauni.
   
 17. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #17
  Jul 2, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  mmmmh ....hii kali. lakini naona inawezekana kuwa baba hajafanya tendo na mwanawe just yule mwizi wa mama mtu kajishtukia kuwa hajaulizwa kitu na kaona labda mtoto na baba yake wako close sana.

  lakini ikiwa kweli baba kaweka kisasi kwa miaka 18 ...he must be sick, hapo mama aweke wazi, na atafute safari na mtoto wake unless jamaa akikubali kwenda mental hospital. duh
   
 18. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #18
  Jul 2, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  weraweraaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!.hiyo safi sana.kama alisubiri mpaka miaka 18 ikatimia.hana kosa awapigie hesabu ya matunzo yote ya huyo mtoto ili huyo mfanya biashara na ms......zi mwenzake wakate hapo ya mahari chenchi wamrudishie jamaa.hicho sio kisasi na wala sio dhambi kwa imani ya dini yoyote hapa duniani,ila ukichunguza kwa makini kuna adhabu ndani yake kwa mke wake na huyo baba mkwe.wanawake wanajifanya wanatunza siri sana sasa hiyo najua wamebloo mapigo kwamba wanaume tukiamua kuwa na siri matokeo yake ni msiba kwa wezi hao.mimi nilishawahi kulishuhudia ndio maana namsifu jamaa.
   
 19. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #19
  Jul 2, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  DC, wazazi kama hawa na akiwa na lengo kama hili hawezi kusubiri mpaka mtoto afikishe miaka 18, anaanza kumuweka karibu sana tangu akiwa mdogo... then anaamza kumfanyia hivyo vitendo kidogo kidogo at tender age, mtoto anaweza akadhani ni kitu cha kawaida na ma-zawadi na mapenzi yale anayoonyeshwa, akiambiwa usimwambie Mama naye anakaa kimya... kwa hiyo anavyozidi kukua na mzee anazidi kujivinjari... kwa sababu fikiria at 18yrs halafu baba aanze tu from nowhere kumweleza mambo kama hayo, lazima atashtuka...
   
 20. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #20
  Jul 2, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mtoto analawama zake, lakini kwann huyu baba amtongoze mtoto wake?na ukisoma kisa kizma ni kama aliplan toka mtoto hajazaliwa maana alijua si mimba yake akale avizuri then anakuja kutembea na huyo mtoto na kuhakikisha bilogical father ameona, akasahau yy ndio baba maana he has been there since mimba mpaka mtoto alipokua
   
Loading...