Hiki ni Kiwanja cha ndege cha wapi jamani?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957


Wa-Danganyika bado tupo nyuma sana kimaendeleo hata kukipiga picha na kuweka kwenye mitandao hivi viwanja vyetu ni jambo la aibu sana. Bora kutawaliwa na wazungu kuliko kujitawala wenyewe hatuwezi kitu chochote sisi wenyewe. Zaidi ya wizi Rushwa na ufisadi tu.
 

Attachments

  • Pemba.jpg
    45.3 KB · Views: 876
Huo ndio uwanja ndege ccm hupitisha madawa na pepe za ndovu.

swissme
 

na ndiyo maana nitamweshimu mzungu hadi kufa kwangu kwa sababu moja kubwa tu wana akili na wanajua pia kuzitumia inavyotakiwa.
 
Hii nchi ukifuatilia sana mambo yake unaweza kuwa kichaa...
Japo inauma saaaana
 
na ndiyo maana nitamweshimu mzungu hadi kufa kwangu kwa sababu moja kubwa tu wana akili na wanajua pia kuzitumia inavyotakiwa.

Shida zenu wabongo ni ushamba unawasumbua unataka wajenge uwanja mkubwa wa nini kama hakuna mahitaji hayo
inamaana kwa wazungu hakuna viwanja vidogo
Hebu ona hivi viwanja nilikuwa australia juzi






Bila shaka hivi ni viwanja vidogo sana Leeton na Grififh ni miji mikubwa kuliko hata hiyo pemba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…