Hiki ni kiwango gani cha mshahara

Hiki ni kiwango gani cha mshahara

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
1,119
Reaction score
2,427
Ni bei gani hii
Screenshot_20250628_144426_Chrome.jpg
 
Mshahara wa Mfagizi, Mlinzi na vyeo vingine vya sakafuni(chini kabisa) kwenye Utawala wa Taasisi. Kima cha chini 500,000 na Hauvuki 1.4 M
 
Unaulizia mshahara hujachaguliwa wala hujaingia hata oral interview
 
Hiyo ni salary scale ya TPA. Mashirika ya umma tana salary scale zao. Watu pekee wanaojua hiyo ni bei gani ni watumishi wa TPA na msajili wa hazina.

Lakini pia hizo ni confidential documents, kwa maana yule anayetakiwa kuona tu ndio anaona. Hivyo hawaruhusiwi kutangaza kuwa hiyo ni kiasi gani.

Cha kufanya wewe ni kuomba hiyo kazi, ukipata watakupa offer letter ambayo itaeleza kwa uwazi mshahara wako. Unaweza kukubali au kukataa ukatudi nyumbani kuendelea na ujasilimali.
 
Asante sana kwa majibu mazuri
 
Back
Top Bottom