wewe dada unavituko hutaki watu wafungue butcher.Pale napokuwa na mtoto mzuri kwenye uwanja wa 6 by 6. Mimi nakomaa kumpiga romance za hapa na pale huwa fresh lakini pale tu anapopeleka mikono yake maeneo ya makalio yangu hamu huwa inaisha na kuingiwa na hofu, anaweza kunipima tezi dume, akanitoa bikra yangu bure. ile sehemu yangu ni sacred ambayo haitakiwi kuguswa kwa namna yoyote ile na babe. Iweje unishike makalio babe?
Nifanyie yote lakini huko hapana!!!
Wewe je mwenzangu wapi ukiguswa hamu inakata???
kumbe huyu ni ke alafu ataki kupigwa dolewewe dada unavituko hutaki watu wafungue butcher.
swissme
Acha ubanizi ... Ye kakupa ukaiangalia na kuifanyia tizi zote sasa kuangalia pochi tu kesi mkuuHua nakereka sana wakati tumemaliza vile anavyoiangalia wallet yangu
Acha ubanizi ... Ye kakupa ukaiangalia na kuifanyia tizi zote sasa kuangalia pochi tu kesi mkuu
Mmmh mkuu unautani na mtoa mada? Au ni kweli ni mdada Mie naonelezea kama ni menwewe dada unavituko hutaki watu wafungue butcher.
swissme
Huo ni unyimi ... Uwe unampa ya kufuta jashoMkuu sio ubanizi....jicho lake ni kama anataka kubeba pochi yote na bado ni mimi nliyewajibika zaidi yake..
Huo ni unyimi ... Uwe unampa ya kufuta jasho
Kwanini uwe huna? ukiwa nae ufaanye mishe ujae kila ukimhitaji Mbona wao hata and wakiwa hawana mood ya kutoa kitu ukitaka anakupaMkuu kifuta jasho mimi hua natoa sana
Ila mnatuonea sana siku hatuna..
Daah mkuu asee hiyo avatar yako na ID nikiviangalia nakmbk shuruba za chuo flan hapa mujini.....Aisee umekua sasa nadhani ni vema uoe mkeo hatakuharibu